kilimasera JF-Expert Member Dec 2, 2009 3,068 268 Mar 5, 2011 #1 Museven nae alitoa hii Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lyimo JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,826 2,018 Mar 5, 2011 #4 Yani ile hotuba yake ya kibabe watu wameifanyia kazi ya nmna hii. Akiiona hii anaweza zimia aisee. Na akizinduka anaachia ngazi maramoja.
Yani ile hotuba yake ya kibabe watu wameifanyia kazi ya nmna hii. Akiiona hii anaweza zimia aisee. Na akizinduka anaachia ngazi maramoja.
Paw Content Manager Staff member Nov 14, 2010 2,109 1,361 Mar 6, 2011 #5 Nimeshindwa kujizuia kucheka
kilimasera JF-Expert Member Dec 2, 2009 3,068 268 Mar 6, 2011 Thread starter #6 Hahaaaaaaa anatisha huyu ameshaingia studio paw said: nimeshindwa kujizuia kucheka Click to expand...
Hahaaaaaaa anatisha huyu ameshaingia studio paw said: nimeshindwa kujizuia kucheka Click to expand...
mopaozi JF-Expert Member Nov 17, 2010 3,301 520 Mar 6, 2011 #7 wadau tutengenezeeni na ya presidaa wetu kipenzi cha watanzania woote!!
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,354 Mar 6, 2011 #8 kweli watu wabunifu duh si mchezo
pmwasyoke JF-Expert Member May 27, 2010 4,595 2,985 Mar 6, 2011 #9 Wale wanenguaji sijui na baadhi ya walinzi wake?