Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,539
- 11,814
Na laana ya kumtesa mteule asiye na hatia imeanza kuwatafuna! Wameqnza kuumbuana! Wasipojirudi na kumuachia bila masharti yoyote wataumbuka mnoSasa inatosha muachie Lisu..................Muachieni Lisu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?