VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hakuna ushahidi wa hayo. Waliochapwa bakora na micheledi ni makada wa CUF walioenda kupandikiza chukiHalafu walewale waliowachapa bakora za mgongoni na unyama mwingine ni walewale watakuwa walinzi wa zoezi hilo (wajeda), sijui itakuwaje!
Nani alichapwa bakora weka ushahidi siyo porojo kama ulivyozoea kupotosha.Halafu walewale waliowachapa bakora za mgongoni na unyama mwingine ni walewale watakuwa walinzi wa zoezi hilo (wajeda), sijui itakuwaje!
Na yule mama mjamzito aliyefanyiwa vitendo vya ajabu na wajeda ni CUF alienda kupandikiza chuki?Hakuna ushahidi wa hayo. Waliochapwa bakora na micheledi ni makada wa CUF walioenda kupandikiza chuki
Tutawajua.Tutawajua kama walikuwa wanafiki au wakweli.Tutawajua kama walifurahia kilichofanywa kwao au walichukia. Tutawajua kama kuchoma kwao majengo kulikuwa ni mikwara mbuzi tu na hawakuwa serious. Tutawajua wana-Mtwara na Lindi Jumapili. Siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Najua wanakumbuka kilichotukia.Wanakumbuka songombingo la gesi asilia na utawala wa kijeshi huko. Wanakumbuka kiapo chao cha kuishikisha adabu CCM huko Mtwara na Lindi. Sasa muda umewadia. Muda wa utekelezaji wa kiapo chenu ni sasa. Muda wa kuonesha ukweli wa kauli zenu ni huu.
CCM tukishinda kwa ushindi wa kimbunga Mtwara na Lindi,wana-Mtwara na Lindi mjiandae kutulipa nyumba na majengo mengineyo mliyoachoma huku mkiapa kutuchapa bakora za kiuchaguzi. Ni muda wenu wa kufanya uamuzi mgumu.
Mambo yote ni Jumapili tarehe 14/12/2014! Wana-Mtwara na Lindi kazi ni kwenu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Aione: THE BIG SHOW
Njaa wanayo mabalozi wa CCM Geita wamenusurika kuuana wakigombea rushwa ya chumvi kata ya Kalangalala.mleta mada ana njaa kali sana
Upinzani wasipoleta wagombea wanamtwara wataacha kupiga kura kwa chama chochote kile
kwa mantiki hiyo kama CCM MAFISADI wakiweka mgombea maana yake ni kwamba wagombea wao watapita bila kupingwa
kwaiyo wapinzani wasiache kuweka wagombea kisha lawama wakazimiminia kwetu sisi
kwa ufupi huku hakuna mwenye hamu na hawa wezii
chumvi haijafika huko lindi?
maana ccm wanagawa chumvi tu
Huyu peter mselewa mbona amekuwa muongo sana kwenye hii nchi.
Upinzani wasipoleta wagombea wanamtwara wataacha kupiga kura kwa chama chochote kile
kwa mantiki hiyo kama CCM MAFISADI wakiweka mgombea maana yake ni kwamba wagombea wao watapita bila kupingwa
kwaiyo wapinzani wasiache kuweka wagombea kisha lawama wakazimiminia kwetu sisi
kwa ufupi huku hakuna mwenye hamu na hawa wezii