laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,732
Walimu wengi ni wazembe wafukuzwe tu
Kweli mkuu, nimechanganya mambo, all in all nilimaanisha kwenye umoja wao maranyingi wanalishana matango pori, japo wapo wanaofanya mambo ya maana.TAHOSSA inahusika vipi hapa? Hao waliondolewa ni waalimu wakuu wa shule za msingi. TAHOSSA ni wakuu wa shule za sekondari.
hawa ni waaminifu sana hawataki kuiba mitihani ngoja wakabidhiwe waibaji
Wanakurupuka tu ili tuwaone kwenye tvHata hao waliopandishwa nahisi watashushwa vyeo.Mwishowe Mkoa mzima utakuwa na walimu waliowahi kuwa walimu wakuu na kushushwa vyeo.Siamini kwamba suluhu la Matokeo mabaya ni kushusha vyeo walimu wakuu.
Miaka mitano itaisha bado tupo kwenye utumbuajiHii nchi imevamiwa kama viwavi wanavyovamiga shambani!!! Kila mmoja na mmea wake wakishamaliza wanajikuta wako wenyewe hamna cha kutafuna!
Kuna umuhimu wa kufanya utafiti ili kubaini sababu za kufeli. Na kama amefanya utafiti akabaini kuwa tatizo ni uongozi yaani maafisa na Wakuu wa Shule Hakuna namna nyingine tumwache kiongozi afanye kazi tafadhali