Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Mimi namwachia Mungu....Hubby typing error
Mimi namwachia Mungu....Hubby typing error
Kweli kabisaMimi namwachia Mungu....
Leo nasusia mtori wa kuku...Kweli kabisa
Che! somo hapa sasa kunoga,nsimu ukifika Ba! si matunumba hayo,kutuna nngongo kama digala vile Che!
Unataka kurogwa?
Mbona mimi unannyima, nikianza kulamba kidogo tu mara hoo, uchiteme wala uchimung'unye au kumecha!!!Mimi naona haya kunyima ntu kitu ngali nnacho
Elo wako.....kupalilila ndo habari ya N'jiniJinianza ida tupalilile mikorosho
KucheleMbona mimi unannyima, nikianza kulamba kidogo tu mara hoo, uchiteme wala uchimung'unye au kumecha!!!
😀😀😀Ahaaaa, mkuu acha unoko bwana....usimwamshe alalae.
😀😀😀
Sijaandika kwa sauti hatasikia mkuu.
Akajimaite Korosho aneyo, uliheke dachi maua..... Kuve muda wa kumwadilikaJinianza ida tupalilile mikorosho
😱Sasa mbona namuona mtu nisiyemjuwa ananipigia hodi hapa nyumbani? Huyu jamaa ana panga na kavaa kininja, ngoja nimuitie polisi.