Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

bbahari

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
89
Reaction score
14
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
 
Matumizi ya nguvu katika hili jambo linalo gusa ma elfu ya watu ni hatari sana kwa usalama wa Mtwara na Tanzania kwa ujumla. Pande mbili ni lazima zikae chini na wakubariane tofauti na hapo, tujiandae kwa maafa.
 
MMhhh sijawahi ona dola imeshinda daima dhidi ya wananchi...CCM tumieni busara japo kidogo tu
 
Mods wachokozi!!! naona tangazo la Tanzania Oil and Gas Suppliers Conference (TOGSC) limegandishwa kwa juu!! Wana Mtwara na wale wanaosema Gas Haitoki/Inatoka mnakaribishwa! kwi kwi kwi!!!!
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
hawa hawakuwepo?
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg
 
je; kulikua na mabomba ndani ya gari, au swala hili lilitokea wakati gari linarudi...
 
Ni kweli mradi utakuwa na manufaa ila umekaa kisiasa na unaharufu ya ufisadi 100%. Wanaoshinikiza wanajitahidi kufanya juu chini mradi uanze ili faida ianze kuonekana wakati huo wao wameshachukua chao.

Mbaya sana hii...
 
hao watakuwa ni green guards -- ha ha ha

miradi isiyo na baraka ya wananchi wa maeneo husika hufikia hatua hii. sasa inabidi lijengwe na kulindwa miaka yote.
 
Tatizo ni kuwa waliowaahidi wanamtwara wakati wa kampeni kuwa kiwanda na mitambo ya umeme itajengwa huko hawaendi kuongea na wananchi badala yake wanawatumia polisi na wanajeshi. Wapi JK, wapi Mwigulu, wapi Nape? mbona hawaendi Mtwara?
 
Hivi likikamilika litalindwa inch by inch 24/7?????!!!!!!
 
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa

Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.

Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .

Tena nasema muwapige tena wapigeni sana (kiranja mkuu) yaani wazee wa feva wapigwe kwani bibi alishaawambia juu ya mchezo wao mchafu. MSIMBATI HOYEEEEEE....GESI HAIT.....K, (fikra za bibi wa msimbati kubadili gesi kuwa maji zidumu)
 
hawa hawakuwepo?
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg
Wakuu hii salute ya katikati ya paji la uso ni MPYA, hii inatumika wapi duniani? ni kosovo ama? aisee nimeupenda huu ubunifu wa Green Guards aka wajasilia.

Mbona walisema wazee wa kazi walisema wanayasindikiza hayo mabomba, au waliogopa kuandika na gari kwa mara nyingine?
 
mkikataa gesi isitoke tutapata wapi pesa za kampeni?
 
Back
Top Bottom