Ukijadili hatari ya kuvunjika kwa amani na mtu mwenye pesa iliyo bank ya uswis atakukubalia machoni lakini moyoni anasema ngoja haya majinga yakianza kutwangana mimi nasepaMkuu nahisi wachukue ripoti yako iwe sehemu ya sera ya gesi kwenye manufaa kwa mtwara na way forward kwa mikoa mingine.