PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
MTWARA BADO NGOMA MBICHI...VITA YAHAMIA CCM....KAMA SIYO SIASA BASI NI HAKI YAO
Kwa wale ambao walikuwa wanadhani hali ni shwari na mambo yanaenda sawa Mtwara kuhusu suala la Gesi, hawapo sahihi sana.
Kuna watu bado wananung'unika katika mioyo yao.
Mkakati wa kukusanya kadi za CCM na kurudisha au kuzichoma moto unaratibiwa.
Tarehe 29/05/2013 ingawa taarifa sio rasmi kunaweza kusiwe na shughuli yoyote.
Watuhumiwa wa vurugu (wengi wao vibarua wa ujenzi wa bara bara na wanafunzi wa vyuo pamoja na vijana wa mtaani) wamefikishwa mahakamani kwa shitaka la uchochezi na wamenyimwa dhamana.