Kwa kuwa hatuna dira ya nchi kurudisha kadi ndio suluhishomaana watakosa kula.
kura hazipigwi na wenye kadi tu, wenye kadi wenyewe nchi nzima ni milioni nne tu.
Kwa kweli usipojua mambo utaishia kuwa ku'waffle tu!Safi kabisa!taa za uwanja wa ndege walizong'oa na kuzipeleka arusha wameshazirejesha?
acha uchochezi gwanda la kaki wewe
Hizi habari zingeletwa na bigShow hapo kidogo ningeamini maana huyu kweli alijua ni nini kinaendeleakweli????!
Nduka katika siasa za Africa tunaita hizi ni Enzi zenu,mutatamba sana na kuwaumiza watu wengi ili utawala wenu tamalaki mutawatia ndani akina Lwakatare ili wanenu na wake zenu waendelee kufaidi pesa ya nchi,munajenga majumba Dubai wanauza mapande ya nchi kwa waarabu,wahindi,wazhina wazungu na nyie munakwatua maeka kwa maeka lakini zamu zenu zitakapoisha mutatiwa majiti kwenye njia ya haja kubwa,mutajificha kwenye mitalo,au kwenye mashimo mutabamizwa vibao na mutaishia jela kama munavyowafanyia wa sasa tamba tu nduka tunakuona wana JF wenzio hutujali unaningi,ninia kwenye mgomba upo juu kwa juu kwa dhuluma za MACCM na MAKIKWETEHawa ni wasaliti wanaotumiwa kuleta machufuko hapa nchini kwa maslahi ya mahawala wa makatibu wakuu wa vyama vyao ni bora wafanyiwe sherehe kabisa warudishe kadi za chama kitakatifu kisha wakabidhiwe za chama chao na kwa umuhimu wa shughuli yenyewe inabidi wakabidhiwe kadi za CDM na Wilfred Lwakatare.
Hizi habari zingeletwa na bigShow hapo kidogo ningeamini maana huyu kweli alijua ni nini kinaendelea
Zaidi ya hapo ni Uchochezi ambao mlianzia huko Iramba na kumpata mwigulu Mchemba original na hamkuambulia kitu
Bora kaanzie Iramba kukusanya kadi lakini kwa Mtwara tunaamini hakuna kitu ni uchochezi wa gesi ambayo sasa mmeumbuka na itaenda DSM taka msitake pandisheni hasira lkn baada ya miezi 18 wale wachochezi watakapotoka jela watakuta Bomba limefika Tanga na lingine Dodoma
acha uchochezi gwanda la kaki wewe
Sawa maana hapa tunachozungumzia chanzo kilichotuwekea habari kuwaWamyiramba wanajitekenya na kucheka wenyewe utampaje ubunge shetani kama Mwigulu,shetani wa njia zote muendekezaji wa mauaji mchora racketi za mauaji ni maajabu na haya yamesemwa mpaka bungeni watu wanamhusisha moja kwa moja na yeye anakiri kwa kushuhudia kuchora mambo ya kishetani ansema anakanda huyo ni binadamu wakuongoza watu kweli no wonder wanyiramba maji ya vyura wao wanaona juice ya mwigulu
najua hamna wasiwasi,zile risasi zote unafikiri zitampiga nani?mbwa?paka?au chamaki nchanga?wanajeshi wenyewe ukiwa search majumbani mwao utawakuta na kadi za magamba kwa ajili ya kusubiria nafasi za ukuu wa wilaya nk.acha uchochezi gwanda la kaki wewe