Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,028
- 54,321
Nak
NakaziaWapigwe hamsa hamsa...
NakaziaWapigwe hamsa hamsa...
Watu wasiojulikana .. legacy ya Magufuli hiyo, ni laana katika nchi.
huyu wa kwanza upande kulia ndiye alimnyooshea bastola NAPE! sasa wananyea debe maisha
Watu wasiojulikana .. legacy ya Magufuli hiyo, ni laana katika nchi.
Wala hasomi alama za nyakati, Siro ataondoka kwa aibu kama walivyoondoka Magufuli, Ndugai, Sabaya, Paul Makonda na washenzi wenginewe wote wa Utawala wa Fashisti Magufuli
Kwanini walimuua mtu asiye na hatia?Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Waliofikishwa Mahakamani ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,
2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,
3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,
4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,
5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,
6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na
7. Koplo Salimu Juma Mbalu.
Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7
Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022
- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
Alikubali yaishe. Ila kwa kadri ilivyo maiti haiongei. Waswahili wanasema kufa kufaana. Kila kitu kitaelekezwa kwa yule askari marehemu ili wao wajinasue na hilo janga.Hivi yule Askari aliyekufa siku moja na dogo mfanyabiashara alikataa kushiriki tukio au?
inaonyesha we ni mbishi Sana,kwani umeambiwa yeye hana cheo kwakuwa alimtishia Nape bastola!Anaitwa Nani huyo kama unamjua ndiye yeye? Maana watu wote naona hamna uhakika kabisa na ni nani kati ya hao saba? Na ikumbukwe kati ya hao saba karibu wote hao ni wakubwa na wakuu wa vitengo ...hebu tueleze anaitwa nani huyo?
inaonyesha we ni mbishi Sana,kwani umeambiwa yeye hana cheo kwakuwa alimtishia Nape bastola!
ndio huyo uache ubishi kaka angu
Anaitwa Gilbert kalanje
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Waliofikishwa Mahakamani ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,
2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,
3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,
4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,
5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,
6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na
7. Koplo Salimu Juma Mbalu.
Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7
Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022
- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,Duh yaani majamaa wanaonekana kabisa walikuwa wana vyeo hizi tamaa hizi jamani
Halafu mbona hana pingu na barakoa?Hiyo wa kulia ndiye alimtishia Nape kwa bastola!?!
Uhai ulishushwa thamani sana awamu iliyopita. Walizoea kula nyama za watu hawa. Nyonga hadi wafe.Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Waliofikishwa Mahakamani ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,
2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,
3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,
4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,
5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,
6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na
7. Koplo Salimu Juma Mbalu.
Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7
Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022
- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
haya kataa na hapaAnaitwa Nani huyo kama unamjua ndiye yeye? Maana watu wote naona hamna uhakika kabisa na ni nani kati ya hao saba? Na ikumbukwe kati ya hao saba karibu wote hao ni wakubwa na wakuu wa vitengo ...hebu tueleze anaitwa nani huyo?
kumbuka Nape ni waziri, na kwaiyo hawezi kushindwa kujua kwamba mbaya wake pia amehusika kwenye case ya mahuaji,huyo alikuwa OC-CID huko kusini kaka anguAna cheo gani naanaitwa nani kati ya hao?
Nikukumbushe kuwa zilishaletwa hapa habari za aliyemtishia Bastola Nape anaitwa Ally Mbuta na ni mmoja wa wanaoshitakiwa kwa case ya mauaji habari hii ilirepotiwa na mwananchi!
Nenda kwenye uzi wa gazeti la mwananchi...
Ukweli ni kwamba si gazeti la mwananchi wala wana jf wenye uhakika na hili jambo ndio maana kila mtu anahisi na kubahatisha hakuna mwenye uhakika!