Mtwara: Askari saba wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiashara na kupora fedha wafikishwa Mahakamani

Gazeti la Mwananchi walidanganya,kati ya hao Askari hakuna aliyemtishia Bastola Nape,huyo wa kwanza kulia anaitwa Gilbert Kalanje(ndie aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa),sio aliyemtishia Nape Bastola,ni uzushi wa Gazeti la Mwananchi tu
 
Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Waliofikishwa Mahakamani ni:

1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,

2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,

3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,

4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,

5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,

6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na

7. Koplo Salimu Juma Mbalu.

Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama

Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
Shetani hana Rafiki yamezoa kuua yakidhani CCM ingeyalinda tu,wanyongwe kabisa hao funza
 
Back
Top Bottom