Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,120
- 12,149
mengi yanasema ikiwemo KAMATI YA UFUNDI
Labda hivyo mkuu.
Nakumbuka kuna mwanamazingaombwe alikuwa akiitwa Kababayee alikuwa anaweza kutaja saa na dakika zake bila kuangalia saa ila alikuwa ni mwanamazingaombwe sasa huyo ndugu yetu wa Moshi inabidi atwambie ukweli anajuaje huo muda bila kuangalia saa......