Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Anaitwa Ramadhan Yasin Isuja mwanafunzi wa Kidato cha TATU Shule ya Sekondari Moshi (Zamani Old Moshi)
Huyu ana kipaji cha pekee japo waweza muibulia KIPAJI CHAKI lakini ni MTUNZA MUDA wa shule ambaye ana ulemavu wa macho lakini ana uwezo wa kukutajia SAA NA DAKIKA Bila kuangalia SAA na hata saa yenyewe WALA SIMU hana maungani mwake
Sidhani kama utaamini KIRAHISI Kama ambayo nami SIJAAMINI hata sasa lakini ndio ukweli halisi ambao nimeushuhuda bila kusimuliwa na mtu na kumuuliza majira zaidi ya mara tatu naye akinijibu bila kukosea hata chembe.......Licha ya Kuwa Mtunza Muda wa Shule, Kijana Ramadhani pia ana uwezo wa Kutaja Ratiba ya SHULE NZIMA (yaani kila darasa na kipindi chake na hili tulilithibitisha wenyewe!!!
Yeye ni mzaliwa wa Pili kwenye famlia ya watoto watano, anasema wazazi wake walikua wakifanya kwa WAHINDI na sasa mmojawapo anauza nguo, biashara ambayo ndiyo inayomsomesha kwa sasa
Mwalimu mkuu Msaidizi wa shule hiyo Bwana Koshuma amethibitisha kipaji hicho na kusema hata wao wanashangazwa kwa namna ya kipekee sana kwa kijana huyu ambaye uwezo wake darasani ni wa kawaida sana japo mwenyewe amesema anamudu sana somo la CIVICS na NJOZI YAKE NI KUWA MTANGAZAJI .........
Mwanafunzi Ramadhani ni mmojawapo wa wanafunzi wanaosomoa Moshi Sekondari katika kada ya wanafunzi wenye mahitaji maalum na changamoto yake kubwa ni kuata nyenzo za maandishi ya Nukta nundu.