Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,996
- 5,461
ReplyNakukubali BE FIRST TO REPRY
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
ReplyNakukubali BE FIRST TO REPRY
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
umeshuka sana nondoNimefanya kazi na walemavu wasioona wana special talent aside.
Tena wakibahatika kusoma ni waelevu sana.
Wana uwezo mkubwa Wa kukariri.
Niliwahi kuhisi labda kuna uwiano kati ya mwanga na upotevu Wa ufahamu.
Au MTU akifumba macho anakuwa na uwezo mkubwa.
Sina utafiti kisayansi lakini.
Yuko mmoja aliitwa Baharia kipindi hiko alikuwa na huo uwezo wa kutaja jina la mtu.Siwezi kukataa, nimesoma pale kuna madarasa ya wanafunzi wenye uhitaji maalum. Kuna mmoja nilikua nashangaa ukiingia tu chumbani hata bila kuongea, anakuita jina lako.
Nafikiri hawa jamaa wanapewa kipaji cha ziada kufidia kutokuona.
umri wake unashangaza kwa kweli nadhani umeongeza nyama fulani hapaDuuu huyu Dogo miaka yote tu yupo kidato cha tatu?
Nimesoma hapo advance
Na nilikua nakaa meru13 karibu kabisa na sehem wanayokaa hapo madogo
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Dah Lisapita muhuni yule sijui atakuwa wapi sasa hivi na kitoto chake cha kike.. Mzee Kirumbuyo, Maganga baba yake Deborah.. Bila kumsahau Malisa Dereva wa karandinga na Dj Omy mpishi.. Mama Rachel na mandazi yake.. Kinunda nk dah muda unakimbia aiseeUmenikumbusha mbali kwelii..skuli langu hilo..yule mwl wao sijui bado yupo anaitwa Lisa Peter kama sijakosea alikuwa... photographer
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mungu ni mwema kila wakat,, mm mwenyew nmesoma hapo nimeishi nao xna #2005-2008Anaitwa Ramadhan Yasin Isuja mwanafunzi wa Kidato cha TATU Shule ya Sekondari Moshi (Zamani Old Moshi)
Huyu ana kipaji cha pekee japo waweza muibulia KIPAJI CHAKI lakini ni MTUNZA MUDA wa shule ambaye ana ulemavu wa macho lakini ana uwezo wa kukutajia SAA NA DAKIKA Bila kuangalia SAA na hata saa yenyewe WALA SIMU hana maungani mwake
Sidhani kama utaamini KIRAHISI Kama ambayo nami SIJAAMINI hata sasa lakini ndio ukweli halisi ambao nimeushuhuda bila kusimuliwa na mtu na kumuuliza majira zaidi ya mara tatu naye akinijibu bila kukosea hata chembe.......Licha ya Kuwa Mtunza Muda wa Shule, Kijana Ramadhani pia ana uwezo wa Kutaja Ratiba ya SHULE NZIMA (yaani kila darasa na kipindi chake na hili tulilithibitisha wenyewe!!!
Yeye ni mzaliwa wa Pili kwenye famlia ya watoto watano, anasema wazazi wake walikua wakifanya kwa WAHINDI na sasa mmojawapo anauza nguo, biashara ambayo ndiyo inayomsomesha kwa sasa
Mwalimu mkuu Msaidizi wa shule hiyo Bwana Koshuma amethibitisha kipaji hicho na kusema hata wao wanashangazwa kwa namna ya kipekee sana kwa kijana huyu ambaye uwezo wake darasani ni wa kawaida sana japo mwenyewe amesema anamudu sana somo la CIVICS na NJOZI YAKE NI KUWA MTANGAZAJI .........
Mwanafunzi Ramadhani ni mmojawapo wa wanafunzi wanaosomoa Moshi Sekondari katika kada ya wanafunzi wenye mahitaji maalum na changamoto yake kubwa ni kuata nyenzo za maandishi ya Nukta nundu.
Am serious mkuuumei wake unashangaza kwa kweli nadhani umeongeza nyama fulani hapa
Baharia alikuwa mkorofi sana yule jamaa pamoja na kwamba haoni ukimzingua anatoka zake kibo kuja kukufuata Shengena usiku akuletee nomaYuko mmoja aliitwa Baharia kipindi hiko alikuwa na huo uwezo wa kutaja jina la mtu.
Ahaaaaaa...umoumooo...Maganga atakuwa amestaafu...ubwabwa na maandazi ya mama recho....hayakuicha poketi money yangu salama.....na enzi hizo hakuna cha Mpesa wala tigopesa...mpaka uje upate Ems au mpaka pesa Itumwe kwa ile basi ya Scandinavian ...yale maisha wacha tuu....Dah Lisapita muhuni yule sijui atakuwa wapi sasa hivi na kitoto chake cha kike.. Mzee Kirumbuyo, Maganga baba yake Deborah.. Bila kumsahau Malisa Dereva wa karandinga na Dj Omy mpishi.. Mama Rachel na mandazi yake.. Kinunda nk dah muda unakimbia aisee
"Tecno Whatever "
DUH, hata mimi niimeshANGAZWA NA UMRI WAKE MAANA ANA MIAKA 23 SASA NA ANADAI NI FORM 3 BADOAm serious mkuu
Nimesoma.hapo old advance I was taking pcm
Nimekaa meru13 bweni ambalo ni karibu kabisa na hapo madogo wanapokaa ambapo upande wa nyuma ni msikiti
Nachoshangaa mpaka Leo ni yupo form3 imagine nimeondoka 2008 alikua form3
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app