Mtunza muda asiyeona Old Moshi School

Mtunza muda asiyeona Old Moshi School

Umenikumbusha mbali sana hats nami nilisoma old Moshi, tulisoma pia na wanafunzi wenye ulemavu was kuona japo Mimi nilikuwa A level ila kweli Mungu amewapa ufahamu sana kuweza kukabiliana na mazingira.
Walikuwa wanafahamu kila kona utagundua haona baada ya kukutana na kukwazo mbele ambacho sio kawaida kuwepo japo.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
hata mm. ilipoambiwa habari zake sikuamini kabisa, ikabidi siku nmvizie akienda msikitini, alafu nkaangalia majira kwenye cm ilikuwa ni 12:54 then nkamuuliza Rama sasa hv ni sa ngap? akajibu saa 12:54 nilishangaa sana maana mkononi hakuwa na saa na alikuwa anatembea kwa hisia maana haoni vizuri
nasikia pia wanafunzi wenzake huwa wanamkutupusha usingizi na kumuuliza sa ngapi na anapatia muda
 
asante sana mkuu kujazia
 
siku hizi inaitwa Moshi Sekondari
Huyo ticha bado yupo..mpiga picha maarufu. Yani ye alikuwa akiwakuta mmekaa mnapiga story anapiga picha aksafisha akileta lazima mgombee

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Amavubi hicho kifaa kinauzwa bei gani?
Focus-14-Blue-in-Case_med.jpg

The price of a braille printer is directly related to the volume of braille production required—between $1,800 and $5,000 for smaller volume production and between $10,000 and $80,000 for larger volume production.
 
Braille-Smartphone-1.jpg

Samaritan
 
Huyo ticha bado yupo..mpiga picha maarufu. Yani ye alikuwa akiwakuta mmekaa mnapiga story anapiga picha aksafisha akileta lazima mgombee

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
nitakupa namba ucheki kama yupo ila linataka kuundwa jumuiko la wana aluminae
 
Back
Top Bottom