Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jamaa Mkubwa sana basi tuDUH, hata mimi niimeshANGAZWA NA UMRI WAKE MAANA ANA MIAKA 23 SASA NA ANADAI NI FORM 3 BADO
kaka usishangae umri watu wenye mahitaji maalumu uwaga wanafichwa na jamii na kuwanyima haki yao ya msingi pia. wanapata changamoto ya kusoma na kuelewa lugha ya nuktaJamaa Mkubwa sana basi tu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kila mtu anaeweza kuwa na uwezo huo.hata mm. ilipoambiwa habari zake sikuamini kabisa, ikabidi siku nmvizie akienda msikitini, alafu nkaangalia majira kwenye cm ilikuwa ni 12:54 then nkamuuliza Rama sasa hv ni sa ngap? akajibu saa 12:54 nilishangaa sana maana mkononi hakuwa na saa na alikuwa anatembea kwa hisia maana haoni vizuri
nasikia pia wanafunzi wenzake huwa wanamkutupusha usingizi na kumuuliza sa ngapi na anapatia muda
Hahahahhahahahahaa na alikuwa na nguvu sana kwenye mikonoBaharia alikuwa mkorofi sana yule jamaa pamoja na kwamba haoni ukimzingua anatoka zake kibo kuja kukufuata Shengena usiku akuletee noma
"Tecno Whatever "
Mungu ni mwema sanaMkuu umesema kweli kabisa Mimi in shahidi
mwaka Jana nilikwenda kufuata cheti changu nilikaa kwenye bweni analokaa kwa kweli nilishangaa sana
Hana SAA lakini wenzie anawamsha kwa muda muafaka na kupiga kengele Vila kikosea muda
Mimi sikuamini nilimuuliza mara mbilimbili alikua ananiambia SAA dakika had I seconds kiukweli nilistaajabu sana..
Siku niliyotaka kuondoka old boys nilimwambia aniamshe SAA kumi na moja na kweli ikawa hivyo
Mungu achwe awe Mungu tu hakunyimi vyote
Hiyo ndio nguvu ya akili.hujasomeka nadhani
Ni maamuzi ya mtu binafsi kuitumia akili yake atakavyo.kweli hata ikiwa hasi
nakubaliana na wewe mkuu wakati nilikuwa nasoma hapo Old Moshi nilikuwa nakaaa Mawenzi 3. tulikuwa na kipofu mmoja nadhani jina lake alikuwa anaitwa Ponziano.. yeye alikuwa anamjua kila mtu bweni nzima kwa kusikilizia tuuu unavyotembea.. na akija mgeni anamtambua hapo hapoAnaitwa Ramadhan Yasin Isuja mwanafunzi wa Kidato cha TATU Shule ya Sekondari Moshi (Zamani Old Moshi)
Huyu ana kipaji cha pekee japo waweza muibulia KIPAJI CHAKI lakini ni MTUNZA MUDA wa shule ambaye ana ulemavu wa macho lakini ana uwezo wa kukutajia SAA NA DAKIKA Bila kuangalia SAA na hata saa yenyewe WALA SIMU hana maungani mwake
Sidhani kama utaamini KIRAHISI Kama ambayo nami SIJAAMINI hata sasa lakini ndio ukweli halisi ambao nimeushuhuda bila kusimuliwa na mtu na kumuuliza majira zaidi ya mara tatu naye akinijibu bila kukosea hata chembe.......Licha ya Kuwa Mtunza Muda wa Shule, Kijana Ramadhani pia ana uwezo wa Kutaja Ratiba ya SHULE NZIMA (yaani kila darasa na kipindi chake na hili tulilithibitisha wenyewe!!!
Yeye ni mzaliwa wa Pili kwenye famlia ya watoto watano, anasema wazazi wake walikua wakifanya kwa WAHINDI na sasa mmojawapo anauza nguo, biashara ambayo ndiyo inayomsomesha kwa sasa
Mwalimu mkuu Msaidizi wa shule hiyo Bwana Koshuma amethibitisha kipaji hicho na kusema hata wao wanashangazwa kwa namna ya kipekee sana kwa kijana huyu ambaye uwezo wake darasani ni wa kawaida sana japo mwenyewe amesema anamudu sana somo la CIVICS na NJOZI YAKE NI KUWA MTANGAZAJI .........
Mwanafunzi Ramadhani ni mmojawapo wa wanafunzi wanaosomoa Moshi Sekondari katika kada ya wanafunzi wenye mahitaji maalum na changamoto yake kubwa ni kuata nyenzo za maandishi ya Nukta nundu.
Mimi nilianzia Shengena then Meru 14Meru 17
nakubaliana na wewe mkuu wakati nilikuwa nasoma hapo Old Moshi nilikuwa nakaaa Mawenzi 3. tulikuwa na kipofu mmoja nadhani jina lake alikuwa anaitwa Ponziano.. yeye alikuwa anamjua kila mtu bweni nzima kwa kusikilizia tuuu unavyotembea.. na akija mgeni anamtambua hapo hapo
Inaonekana tulikuwa old Moshi wakati mmoja. Kulikuwa na huyo baharia, Zahran, mchungaji, na mmoja mkurya alikuwa ana-lead darasaYuko mmoja aliitwa Baharia kipindi hiko alikuwa na huo uwezo wa kutaja jina la mtu.
hii kali sananakubaliana na wewe mkuu wakati nilikuwa nasoma hapo Old Moshi nilikuwa nakaaa Mawenzi 3. tulikuwa na kipofu mmoja nadhani jina lake alikuwa anaitwa Ponziano.. yeye alikuwa anamjua kila mtu bweni nzima kwa kusikilizia tuuu unavyotembea.. na akija mgeni anamtambua hapo hapo