Jambo la hatari ni kunyoa na muda mfupi baadae unaenda kwenye tendo.
Watu wengi wanatumia Condoms wakati wa mapenzi ambayo ni sawa, pia watu wengi
hufanya mapenzi kwa kunyonyana ambayo kama huna vidonda mdomoni au fizi
zako hazina matatizo ya kutokwa damu, yaani namaanisha mdomo wako uko
salama hata kama utamnyonya ( Oral sex) aliye na ukimwi chances ni ndogo sana ya kuambukizwa
kwa jinsia zote.
Ila watu wengi, wanasahau kuwa siku ya kufanya mapenzi OGOPA kunyoa ukiwa nyumbani unajiandaa kukutana na mwenzi wako au hata wakati wa mapenzi yenyewe kuna watu wananyoana, hata mm nimeshafa fanya haya ila nilikuwa sijui miaka michache iliyopita,
kuna probability/uwezekano mkubwa sana hata ukivaa condom na lazima kuna sehemu utakuwa umejikata, ni ndogo mno kuona au wengine unaweza kuona damu kidogo ukinyoa mavuzi, wakati wa mechi unakuta demu yuko juu madhalani, yaani lazima uambukizwe hasa mwanamke akiwa infected,
waulizeni madktari hili, plse take care, mechi njema na ushindi wa magoli
Hii nime- copy and paste.
Sasa kama unataka kufanya tendo, paka mafuta eneo lote kuzunguka sehemu za siri ili maji maji ya ukeni yasikupe maambukizi yoyote ya magonjwa za zinaa.