Mtume Mwamposa na jaribu la imani

Mtume Mwamposa na jaribu la imani

Hili swali nimejiuliza ila nikajijibu kuwa mawazo ya Mungu si kama mawazo yangu mimi mwanadamu.................... 🙁
Ndio maana nimemjibu pia kuwa ni sawa na kumtuhumu Mwenyezi Mungu kutotoa ishara.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Huyo jamaa ni tapeli hawezi kupewa ishara yoyote
[emoji2]
20200203_124541.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simtuhumu!
proclaimer of the will of God. anakosaje ishara? kukosa ishara ni ishara kwamba Sio Nabii kama mnavyosema.
Na Mwenyezi Mungu sio mkatili kutoa jaribu juu ya roho za watu. majaribu yapo mengi magumu yasiyodhurumu nafsi
Pia waweza kuuliza hivi, ni kwa nini Mwenyezi Mungu asimpe ishara kuwa haya yatatokea? Hilo swali lako lapaswa kujibiwa ya huyo Mwenyezi Mungu unayemtuhumu kutotoa ishara.



Sent from my SM-T355Y using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
princess ariana, Mama bunyero bunyero na mm nikawa najiuliza kwanini baada ya vifo kutokea akakimbia fasta kwenda dar?
 
Degrees in theology or further is the solution

For instance Catholic,Lutheran and Adventist clergies are well trained in theology...u never hear this kind of drama in RC,Lutheran or even Muslims
 
princess ariana, Mama bunyero bunyero na mm nikawa najiuliza kwanini baada ya vifo kutokea akakimbia fasta kwenda dar?
Kiuhalisia sio kwamba alikimbia alikuwa anawahi usafiri kwa ajili ya Ibada ya kesho yake jijini Dar. Na huwa akimaliza kuhudumu kwa maana ya mahubiri na maombezi huondoka na kuacha kazi ya kukanyaga mafuta ikisimamiwa na wahudumu wake kama sikosei.
 
Back
Top Bottom