sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Nifafanulie bana ili nijue!
Au hutaki kutufundisha namna ya kuingiza "mbuzi" zizini sisi tusiojua?
Notes zangu zimeishia hapo....ngoja wengine waje kukufundisha mwe...
Nifafanulie bana ili nijue!
Au hutaki kutufundisha namna ya kuingiza "mbuzi" zizini sisi tusiojua?
Tatizo lingine ambalo hilipendi ambalo wanakuwa nao mabikra wa kiume ni lipi?
au samaki hafundishwi kuogeleaChura afundishwi kuruka kichura its an auto atajua tu!
Mkuu chura anyoshi goti hivo lazima aruke kichura!Kuna kujua kutembea na kuna kujua namna ya kutembea kwa usahihi!!!!!!!
Is there any problem if is true?
Mkuu inamaana umezoea kuzisimamia kama njenje?[baiskeli]Kwakweli maishani mwangu nimetoa bikra mbili tena wotd wakiwa high school, but i didn't enjoy at all. Mi kiufupi nataka yule ambaye yuko expirienced, wengine tushazoea hard sex sasa bikra dah..hapana!!
Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na wanakofanyia kazi au kuishi ni kumoja
Wadada hawa walikua na story iliyovuta masikio yangu na kunifanya nipunguze spidi ili niendelee kuwasikiliza kwa kuwa tulipokuwa pana ka umbali kidogo hadi ufikie kituo cha usafiri wetu wa umma[Hiace/daladala/vifordi]
Wadada hawa walikuwa wanamzungumzia mwenzao ambae inaonekana siku za karibuni ataolewa
Tatizo halikuwa kuolewa bali anaemuoa
Inasemekana kuwa huyo mume mtarajiwa wa rafiki wa hao akina dada hajawahi kufanya ngono,yaani ni bikra wa kiume
Wadada wale walikuwa wanamlaumu mwenzao kwa kutokusikiliza maelekezo yao kwa kukataa kuolewa na huyo jamaa kwakuwa ni "mshamba" yaani hayajui mapenzi kitendo kitakachomfanya rafiki yao aanze kutembeza shule kwa huyo mume namna ya kugegeda kitendo ambacho wale wadada hawakukubaliana nacho
Walionekana kukerwa sana na walikuwa wanasema wao hawawezi kuja kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume wa aina hiyo
Story hiyo ikanikumbusha miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nazungumza na jamaa zangu kuhusiana na suala hili ambapo kuna jamaa alikuja kutulalamikia kuhusiana na mkewe kutokujua mapenzi kwa sababu alimkuta bikra
Jamaa yetu yule alionekana kukereka sana na alifikia kusema kama angejua asingemuoa
Kati ya vijana tuliokuwa pale watatu walikubaliana na yule jamaa
Nilishangaa!
Nilidhani kuwa kama ukimkuta mwanamke sio used basi unafurahi kumbe sio
Sasa nikiunganisha na hili tukio la leo naona hili jambo kama linakua flani hivi,yaani huenda hili suala hapo siku za nyuma lilikuwepo lakini inaonekana linachukua kasi mbaya
Nimeamua kulileta hapa ili nijue Wanaume wa hapa wanalichukuliaje suala hili
Pia wanawake nao wanalichukuliaje hili
Yaani kama kuna watu wawili ambao unatakiwa uchague kati ya huyo mmoja awe mwenzi wako na mmoja ni used na mwingine sio,ungependa yupi awe mwenzi wako na kwanini?
Watu wa siku hizi inaonekana hawapendi masuala ya kuanza kufundishana,wanataka watu ambao ni waalimu tayari
Inaonekana sisi mabikra tutaipata mwaka huu....lol!
Naomba mchango wako tafadhali!
Mtazamo wako ni upi kuhusiana na hii kitu?
Una uhakika huyo mzoefu ataridhika na kiwango chako?
Hatari ya takwa lako ni moja, huyo utayempata atakulinganisha na waliopita na ole wako usikidhi viwango alivyowahi kutana navyo...
Kuna uzi nimetoka kuusoma hapa MMU muda si mrefu umewekwa na mtu anajiita 'blogger' akilalama kuwa haiwezekani kuishi pasipo kidumu simply kwa kuwa kaamua kufanya comparison badala ya kurekebisha kile alichonacho...
Hawana faida?????
Acha hizo bana
Mbona wanibania mtoto wa mwanamke mwenzio?
Waniacha na maham ujue....lol!!!!!!!!!
Kifupi mkuu tamaa imetawala akili sana. Watu wanafikiri kwa tamaa na kwa hisia.
What on Earth upate mwanamke Virgin ulalamike? Hizi akili tumepewa za kwendea interview na kuwatumikia waajiri tu sio????? na kuendea counter labda...... Shame!!!!
Sasa mbona unataka kunikimbia?