Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #41
Yote...kama hajui mapenzi...mchovu...ana maumbile tofauti na uliyoyatarajia......yani uvumilie yote ambayo yatakwenda kinyume na matarajio yako...
Kwaniniutarajie kitu usichokuwa na uhakika wa uwepo wake?
Haafu kwani uchovu ni kilema?