Mtukufu mimi ni kati ya wale shetani wako nisikilize japo kidogo

Kumbe watu wa magharibi ndo wamebana ajira, mikopo? Kumbe ndo walobana watu kupanda madaraja, mshahara nk? Eheeeee
Jiongeze, hayo yote yanahitaji pesa, wakikukazia kwa vita ya chini chini utashangaa bei za soko la dunia za kahawa, pamba na vyanzo vingine vya mapato zinashuka, ili ukose pesa ya kutimiza mahitaji kama hayo, then wananchi wakishakuchukia inakua rahisi kuku force kitekeleza matakwa yao, ukizidi kiwagomea na wao ndio wanazidi kukaza uzi ili maisha yawe magumu uchukiwe zaidi, wengi imepelekea hata kupinduliwa na wanachi wao
 
Acha jeuri... We ni nani wa kutoa Onyo, kua na heshima kijana...
Mimi ni boss wake niliyempa nafasi ya kunitumikia vyema, leo analeta jeuli?? Walioomba hiyo kazi kwangu ni wangi ila yeye akalilia hadi kapiga pushapu.
Hivyo sina budi kumpa onyo maana najua miaka minne ijayo atakuja kunililia tena.

Nadhani nimekujibu vizuri green guard.
 
Back
Top Bottom