ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
Hivi Tanzania hii wewe peke yako ndiyo unajishughulisha kwa njia halali? Hebu tuacheni unafki jamani maana serikali yenyewe imekiri mara kadhaa kuwa mzunguko wa fedha wa ndani ni mdogo sasa wewe huko kijutuma ukiwa ndani ya Tz na ukapata fa7da sijui unajituma vipi?Wewe kwakuwa unapata mshahara unadhani sote tunaishi kwa kutegemea mshahara????
Jishughulishe kijana kwa njia halali utaona matunda yake...kupiga kelele hakutakusaidia kitu zaidi ya kukuongezea stress za maisha