Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,268
- 1,593
Nchi ni moja, Bunge ni moja, Serikali ni moja, Jeshi la polisi ni moja inakuwaje watuhumiwa tofauti wenye tuhuma za aina moja wanashughulikiwa kwa mitindo tofauti?
Sheria zetu kuna baadhi ya watu zimewafanya kuwa special? Inakuwaje wengine waendelee kusota lupango huku upelelezi haujakamilika wengine tuhuma zao zipo wazi kabisa lakini wanaendelea kula Maisha uraiani?
Sent using Jamii Forums mobile app