Mtu wa Kwanza Duniani Ambaye Hana Jinsia

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4235818.jpg

Norrie May-Welby</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Mlowezi wa kiingereza nchini Australia ameingia kwenye rekodi za dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kutambulika kisheria kuwa hana jinsia yoyote si ya kiume wala ya kike.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Norrie May-Welby mwenye umri wa miaka 48, Muingereza anayeishi nchini Australia amekuwa mtu wa kwanza duniani kutambulika kisheria kuwa hana jinsia yoyote.

Madaktari nchini Australia walishindwa kumuweka Norrie kwenye fungu la wanawake au wanaume kutokana na hali yake ya kutokuwa na viungo vyovyote vya siri.

Norrie alizawaliwa kama mwanaume lakini alifanya operesheni ya kubadilisha jinsia yake kuwa mwanamke mwaka 1990 wakati huo akiwa na umri wa miaka 28.

Lakini baada ya kutokuwa na furaha katika hali yake mpya ya uanamke, Norrie aliamua kufanya operesheni nyingine na kuondoa uke alioupandikiza ili asiwe na jinsia yoyote.

Katika pasipoti yake mpya kama raia wa Australia, ilibidi maafisa wa serikali waongeze fungu jingine la watu wasio na jinsia baada ya madaktari kusema kuwa wanashindwa kuthibitisha Norrie ni jinsia gani.

"Mimi si mwanaume wala mwanamke, mimi nimeona bora nisiwe na jinsia yoyote", alisema Norrie.

Kutokana na uamuzi huo wa maafisa wa Australia, Norrie amekuwa mtu wa kwanza duniani kutambulika kisheria kuwa hana jinsia yoyote.

http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=4235818&&Cat=2
</td></tr></tbody></table>
 
hii imekaa kidaku zaidi,kwani jinsia ya binadamu inatambulikaje hata huko australia washindwe kumjua jamaa kama ni mme au ke
 
Maumbile kisheria? au kwa kuzaliwa? Kama alizaliwa mwanaume huyo ni mwanaume.
Mkuu umesema sawa kabisa, huyu hata angekua na hiyo ya kubandika ya kike basi yeye ni mwanamume tu. Mungu alimuumba m/mme period! mengine ni pure fantasy. Hakuna kitu kama mtu asie na jinsia, mbona Semenya yule mkimbiaji wa South Africa walipokua na shaka nae walimfanyia uchunguzi na kuthibitisha kama m/mke? I weje huyo awe hana jinsia?
 
Mungu alimuumba mtu mwanaume na mwanamke,wote aliwaumba! You are either male or female before YHWE.Hakuna katikati,hao wa-Australia wanatafuta tu laana ndiyo majanga hayaishi kwao huko!
 
Back
Top Bottom