Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,075
Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi?

Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi sikuwa miongoni mwao wa huko kwao ila kupitia wachaga nilipata connection ya kazi kwasababu ya hao wachaga na aliweza kunisimamia nisiondolewe kazini hao hao wachaga sasa unasema wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

Kuna wale wa kanda ya ziwa maarufu kidogo hawa watu wana roho mbaya, ubinafsi,majungu na unafiki nashangaa kwanini wanasema ni wastaarabu wakati hovyo tu.
 
Screenshot_2026-02-04_202956.jpg
 
Mara wachagga.

Mara wale wa kanda ya ziwa.

Mara nilipata kazi kupitia wachagga.

Hoja yako nini??

Kwahiyo weqe una umuhimunsana kwasababu ukisaidiwa na wachagga basi wana roho nzuri, ila wengine wanaosema walifanyiwa fitna na wachagga wasilalamike.

Pumbavuuuuuu
 
Hajui kwamba binadamu tuna story tofauti kwa watu tofauti Kuna wemgine tunawafanyia mema, wengine tuna wafanyia manyau nyau 😀

Ukiona unasifiwa na kila mtu, wewe unamatatizo sana
 
Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi?

Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi sikuwa miongoni mwao wa huko kwao ila kupitia wachaga nilipata connection ya kazi kwasababu ya hao wachaga na aliweza kunisimamia nisiondolewe kazini hao hao wachaga sasa unasema wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

Kuna wale wa kanda ya ziwa maarufu kidogo hawa watu wana roho mbaya, ubinafsi,majungu na unafiki nashangaa kwanini wanasema ni wastaarabu wakati hovyo tu.
Opinions hizo husababishwa na wivu pamoja na tribalism, tabia huwa kila mtu ana za kwake na hata wewe kulinanga kabila la kanda ya ziwa kwa aina ya tabia it's not right.
 
Back
Top Bottom