Mtu 'romantic' anakuwaje?

anakuwa kama wewe unayeleta ufacebook ndani ya jamiif
 

naipenda jf
 
 
Last edited by a moderator:
Wewe siyo mtalaamu Husninyo??? Nahis hapa kila mwanamke ana cha kusema.

Ukiwa na hela ww ndiyo romantic!Tafuta hela ndugu yangu utafananishwa na kila mwanamme handsome hapa duniani!

Kuna jamaa yangu ni Mhutu mfupii sana na ana pua kuubwa pana tena ana kitambi lkn ana hela ndefu;demu wake mpya alimuambia kafanana sana kwa kila kitu na Christian Ronaldo wa Real Madrid!Akaambiwa eti yupo very sexy!

Mimi nikawa nacheka tu pembeni yao!
 
Imagine this uko kitandani unaumwa kunyanyuka ni kwa masharti ya daktari and your man decides to give u a massage. U know his massage skills ni zero but just the thought that you might be needing a massage shows the guy is romantic

Same scenario you are sweating kuliko sumo wrestlers a sponge bath offer will do for me.

So romance is the small things that don't change the terms of your relationship but send out a very loud message kwamba unajali.
 


Inabidi uwe mtu wa kuangalia sana bongo movies na udiscuss kila mnapo ongea, ndiyo maana yake. Mambo ya dotcom hayo.
 

Ni zaid ya hivyo sababu kuna wanawake wenye hela pia.Wanaojimudu kwa kila kitu .nadhani ni zaid ya kuwa pesa.
 
Mwanaume kuwa na hela ndio urijali kamili..hizo mambo za romantic ni za wavaa pedo..take that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…