Mtu Mweusi Hakuumbwa na "Mungu Wake" Hadi Aabudu Mungu wa Wazungu, Wayahudi na Mungu wa Waarabu?

Mtu Mweusi Hakuumbwa na "Mungu Wake" Hadi Aabudu Mungu wa Wazungu, Wayahudi na Mungu wa Waarabu?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,080
Reaction score
84,972
Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilivyozaliwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu?

Binafsi Sina huo ujinga wa kuabudh kina Mungu wa jamii zingine ni utumwa wa kifikra na kutojitambua licha ya kubaguliwa kote na hao wenye Mungu wao.

Kila jamii iliyozaliwa iliwekewa utaratibu wa kiimani na kitamaduni Ili wafikie ustawi,Sasa hili la kulazimishiwa mambo ya Wazungu, Waarabu na Wazayuni linatoka wapi na Ili iwaje?

Ni wazi wanaolazimisha supremacy ya utamaduni wao Wana malengo lakini nyie mnaopokea na ku trash utamuduni wenu wa kiimani mnajitambua au mpo kama wanyama tuu?
 
Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilizoumbwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu?

Binafsi Sina huo ujinga wa kuabudh kina Mungu wa jamii zingine ni utumwa wa kifikra na kutojitambua licha ya kubagukiwa kote na hao wenye Mungu wao.
Wewe Mungu wako ni nani?
 
Mungu ni wa aina moja, ila namna tunavyomuhisi, kumdhania na kumtafakari, ndipo tunapotofautiana.
Waafrica mmekalia mmeshindwa kuabudu Mungu na namna inayofaa. Mkaamua kuabudu mizimu na mavitu yasiyofaa.
 
Back
Top Bottom