Mtu mweusi anapitia wakati mgumu sana duniani.

Mtu mweusi anapitia wakati mgumu sana duniani.

Huyo dogo ni wa kipekee. Nawashangaa wanaomchukia kama kina Scars ambao wanamtindio wa ubongo.

Namuombea Lamine abebe kombe la dunia, Uefa champions league na ballon d'or. Nitafurahi sana.

adriz de mbusii
Scars ana hasira goti wake kafurushwa na Merino USA sasa hivi yupo Ureno anamuangalia Messiah kwa siri.
 
Sisi watu weusi tunapitia wakati mgumu sana duniani.

Tunatengwa, tunachukiwa na tunabaguliwa.

Iwe kazini, kwenye michezo, kwenye ndoa, kwenye siasa kila mahali.

Pia sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Utakuta mtu mweusi akiwa na uweupe flani anambagua mwengine.

Ni huko south Africa eti nao wanakubagua ukiwa mweusi na muonekano kama Sheikh Abdullah Mwaipopo.

Wasomali na waethopia eti nao wanawabagua wabantu.

Jamii ya wa tutsi eti nao wanawabagua waafrika wenzao wengine.

Messi na Argentina nawachukia tu kiasili.

Huyu Cristiano Ronaldo naye naendelea kumchukia zaidi kwa kitendo cha aibu baada ya kusalimiana na mchezaji wa Congo DRC akakimbia kwenda kunawa mikono. Tena bila aibu mbele ya Camera.

Watu weupe siyo wa kuwashobokea kamwe mtu mweupe hatawahi kukujali na kukuheshimu ni kuwapotezea tu. Bora uishi na umaskini na low IQ kuliko hizo dharau.

Video ya huyo bwege Ronaldo hapo chini.

View attachment 3625611

adriz de mbusii
Wewe mpuuzi Nyangwisi Dujeumsaengmita unajifanya una uchunguzi na ngozi kwa nini ni chawa wa Israel ambao ni wabaguzi kishenzi na waliunga mkono makaburu ?

WaIsrael weusi wa kiEthiopia haujui kuwa wanabaguliwa sana Israel mbona hauongei ?
 
Wewe mpuuzi Nyangwisi Dujeumsaengmita unajifanya una uchunguzi na ngozi kwa nini ni chawa wa Israel ambao ni wabaguzi kishenzi na waliunga mkono makaburu ?

WaIsrael weusi wa kiEthiopia haujui kuwa wanabaguliwa sana Israel mbona hauongei ?
Dogo jikite kwenye mada.

NYAMBAFF
 
Back
Top Bottom