Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 1,530
- 3,593
Nikijisikia kuumwa kwanza hua natulia kwa muda wa siku kadhaa najibidiisha kula na kunywa maji mengi na kuto kulala hovyo unakuta baada ya siku 2 au 3 ugonjwa hupotea nimeweza kuucontrol mwili wangu hivyo naachia kwanza Seli hai nyeupe zipambane na nashukuru Mungu hua zinashinda vita mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
Amodiaquine,
Nlkunywa siku 3.
Hii dawa nliinywa mwaka 2007, nlihisi sipo duniani, macho hayaoni vyema na kushinda nmelala, hazikuzidi siku 10 nkapona.
Malaria ikapona ila mpaka leo sijapata malaria kali vile.
Sent using Jamii Forums mobile app