Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Pole mwaya,bora umewahi maana hawa watalaam wameamua kukomaa na na maboss wao!!,
Mungu atakusaidia utapona mapema mpnz!
ahsante,nahitaji maombi yako sana.
Pole mwaya,bora umewahi maana hawa watalaam wameamua kukomaa na na maboss wao!!,
Mungu atakusaidia utapona mapema mpnz!
Sema lingine mpnz wangu hilo ni wajibu wangu,ahsante,nahitaji ma6bi yako sana.
Poa bro,
Fanya mpango uvae shati basi!!!
Nakuonea huruma ni masiku kibao nakona kifua wazi hapo na boxer yako!!!
Mi sijaelewa miyeyuko kwa namna gani?????
Hebu fafanua vema
Hahahah hahahha,dar joto bhana, mi tisheti sijui mi shati naona inanizingua tu.
Hahahahaaaa Judgement Umenifurahisha sana hapo nilipo -Bold....teh52 ! Pamoja na kuomba kwako ufafanuzi, na sijajua kama umeshafafanuliwa au laa,
Mimi probably nitoe ushauri "free consultation"
Thrade kama hii ya kumtafuta sijui Member miyeyusho as a leader !
Which/what the benefit we earn from it ?
baadae itakuja member gani mweupe/mfupi/mnene/mwembamba/big masaburi n.k
Tanmo.
Hahahah hahahha,
Na ulivosimama bila kubadilisha pozi hahahaha,
Fanya basi mpango ubadilishe hata hiyo boxer basi!
dah Hongera! ila nimeshangaaa!!!? mpaka sasa hivi halijatajwa jina lako? enewei hata mie sijalitaja nimeamua kukaa kimya tu.Miyeyusho kwani JF watu wanaweza kuyeyushana? Au ndio kwa wale wataalam wa "tukutane Kona Bar!!"??
hujambo Husninyo? Hivi hujapunguza uyeyushaji bado?
Nilikuwa nimekumiss sana bibie.....Dah afadhali umekuja.....Mzima?So far, sijamuona myeyushaji..
Nilikuwa nimekumiss sana bibie.....Dah afadhali umekuja.....Mzima?
Mie mzima ricky, habari ya wewe? Ushayeyushwa eh?