Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

nilitegemea hili....he he he...
hakuna wayeyushaji humu JF kama Tanmo, Mtu chake na Ndallo....
hii thread ifungwe tu maana hakuna anayewazidi hawa......

hujasikia kama mshindi atapata zawadi? Unavyokataa wewe si miyeyusho huoni kama unaikataa zawadi ambayo kimsingi unahistahili?
 
nilitegemea hili....he he he...
hakuna wayeyushaji humu JF kama Tanmo, Mtu chake na Ndallo....
hii thread ifungwe tu maana hakuna anayewazidi hawa......

Kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh!
Wakuoneona bure Preta yaani jinsi ulivyohamaki nimejua wewe si myeyushaji.

Halafu kipimo cha uyeyushaji ni nini?
 
Back
Top Bottom