"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." (Martin Luther King Jr.)Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!
Maoni yangu
chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu
SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!

"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity. (Martin Luther King Jr.)
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!
Maoni yangu
chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu
SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!
Nani kakwambia afrika ya kati wanapenda vurugu?buku 7 mnalewea Zanzi tu!je wewe unapenda vurugu kama afrika ya kati?
Magamba mshaona uchaguzi wa 2015, mshaanza propaganda zenu kuwa, watz wakichagua upinzani, Tanzania itakuwa kama Afrika ya kati.je wewe unapenda vurugu kama afrika ya kati?
Magamba mshaona uchaguzi wa 2015, mshaanza propaganda zenu kuwa, watz wakichagua upinzani, Tanzania itakuwa kama Afrika ya kati.
Si wote tunakumbuka, kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, mwaka 1995, namna ambavyo magamba, walivyoitumia TV moja maarufu hapa nchini ya mwanaCCM mwenzao, kueneza propaganda zao za "kitoto" walivyokuwa wakionyesha picha za mauaji ya Kimberly, nchini Rwanda, wakiwatatahadharisha watz kuwa eti, wakichagua upinzani, basi yale yaliyokuwa yakitokea Rwanda, yatahamia TZ!
Sasa inaelekea wewe nawe, kama hauko idara ya propaganda ya Nape, basi utakuwa katika kile kikosi cha Lumumba FC,cha kulamba buku saba-saba!
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!
Maoni yangu
chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu
SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!
mkuu fungua akili na uangalie mbele mustakabali wa nchi na sio kuangalia mtu mmoja mmoja katika watu wengi
watu tunakiu ya mabadiliko lakini hatutaki kiu ya machafuko!