Mtu kufa kwa siasa sio shujaa ila mtu kufa kwa ajili ya nchi ndiye shujaa

Comments za BAVICHA hazina staha hata kidogo! hivi mlitaka thread ya kusifia Babu Slaa ambaye anapigania maslahi ya Saccos yao na sio maslahi ya Watanzania!
 
inamaana wewe hajui chadema ilichokifanyia Tanzania,ujinga wote unaofanywa na watawala wetu,tungeujuaje.na vilele kweli hujui chetu cha Ccm,kilichotufanyia yapo mengi Siwezi kutaja yote.ila huku kwetu nyamongo imeua vijana wengi,na inaendelea kutuachia Mashimo,baada ya wazungu kuchukua dhahabu zao,walizokatalia babu zetu waliokuwa Hawana elimu,imekuja kuchukuliwa kipindi hiki cha maprofesa na ma doctor.
 
mkuu ni kweli kuna matatizo katika watawala wetu sasa pia katka wapinzani kuna mapungufu yapo pia

lakini SIASA ya mtu haiwezi kuwa ushujaa mpaka tuone mabadiliko
 
Back
Top Bottom