Mtu kufa kwa siasa sio shujaa ila mtu kufa kwa ajili ya nchi ndiye shujaa

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!

Maoni yangu

chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu

SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!
 
"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." (Martin Luther King Jr.)
 
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!

Maoni yangu

chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu

SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!

Sema wewe kama Mtanzania na sio sisi kama Watanzania. Usitusemee.
 
Haya ndo madhara ya elimu ya Tanzania sasa yameanza kuonekana. Kama mwl wako akikupa 0% napo ujinyonge kuwa umeonewa.!!!
 
Mbulula kama huyu anawezaje kuja na thread ndani ya JF yenye thinkers na tuendelee kuupokea? STUPID
 
Mtu akimpiga risasi Dr Slaa, ajue ameanzisha mzozo na watz ambao haujulikani utaishia wapi na kwa nani; kifupi tusipambanue sumu kwa kuzilamba.
 
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!

Maoni yangu

chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu

SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!

Haya ndiyo madhara ya Zitto.
 
je wewe unapenda vurugu kama afrika ya kati?
Magamba mshaona uchaguzi wa 2015, mshaanza propaganda zenu kuwa, watz wakichagua upinzani, Tanzania itakuwa kama Afrika ya kati.

Si wote tunakumbuka, kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, mwaka 1995, namna ambavyo magamba, walivyoitumia TV moja maarufu hapa nchini ya mwanaCCM mwenzao, kueneza propaganda zao za "kitoto" walivyokuwa wakionyesha picha za mauaji ya Kimberly, nchini Rwanda, wakiwatatahadharisha watz kuwa eti, wakichagua upinzani, basi yale yaliyokuwa yakitokea Rwanda, yatahamia TZ!

Sasa inaelekea wewe nawe, kama hauko idara ya propaganda ya Nape, basi utakuwa katika kile kikosi cha Lumumba FC,cha kulamba buku saba-saba!
 
mkuu fungua akili na uangalie mbele mustakabali wa nchi na sio kuangalia mtu mmoja mmoja katika watu wengi

watu tunakiu ya mabadiliko lakini hatutaki kiu ya machafuko!
 
Tanzania ni nchi yenye changamoto nyingi sana katika safari yetu ya maendeleo na siku zote tumekua mbele kutetea aman na upendo ili tuweze kufanikisha haya. Na ili haya yafanikiwe inatubidi tukubaliane na ukweli katika duru hili la demokrasia kuwa MTANZANIA/KIONGOZI KUFA KATIKA SIASA SIO SHUJAA bali tutambue ameifanyia nini nchi!

Maoni yangu

chama tawala CCM kina vilaza wengi Wenye mawazo haya siasa chafu huku wakiamini ni ushujaa kufanya haya..
CHADEMA napo pia kuna vilaza wapo ambao nao siku zote maudhui ni siasa chafu bila kujali madhara yake kwa nchi na sio kwa jimbo tu

SISI KAMA WATANZANIA TUNATAKA KUJUA MMEIFANYIA NINI NCHI NA HATUTAKI KUSIKIA UMEIFANYIA NINI SIASA!

deterlspiEwe mtanzanzania umewahi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom