Mtu kalogin kwa account yangu,huu ni uhuni

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,088
2,000
Ousofia 01:59 Today
By Kipipi:
Chuki ni bureee!
Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun

Edit Reply Report Post
Ousofia 04:24 Today
Dah coment ya mwisho kuhusu kipipi si mimi kuna mtu anatafutia kisingizio kaona alogin na account yangu,acheni uhuni wahusika,ni upumbavu kuandika kitu ambacho sijaandika mimi,nikiandika thread kuwa nimelewa usidhani nipo hivo na si kigezo cha kucoment kwa account yangu,haki ya nani mhusika umeniudhi,JF inaboa for real kwa mtindo huu, where is our privancy?

Edit Reply Report Post
Ousofia 04:28 Today
Mhusika uliyereply kwa account yangu na kuccoment kwa kipipi umeniudhi sana.

Edit Reply Report Post
Page 8 of 8 First ... 678
Mods najua mnaweza kufunga hii thread,
But
Kuna haja gani huyu mtu kumjibu Kipipi kwa account yangu?eti nakupenda hun sikuchukii.
Yaani imefika kiasi cha kutumia account za watu?
Uliyeingia kwenye account yangu umeniudhi na ninajua unaweza ukaclose hii thread au ban!
Ila umefanya kosa kuingilia privancy yangu
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,757
2,000
Baba, kunywa maji mengi kwanza, tuongee asubuhi basi jamani. Saa hizi utaamsha majirani wapige 911. Kuna bhange zangu kule jikoni utaniharibia biashara, chonde chonde.
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000
Baba, kunywa maji mengi kwanza, tuongee asubuhi basi jamani. Saa hizi utaamsha majirani wapige 911. Kuna bhange zangu kule jikoni utaniharibia biashara, chonde chonde.
Hivi huyu yupo siriaz au hizi ni mbwembwe za chit chat tu!

Mambo ya huku siku hiz yamenipita sana
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,088
2,000
Baba, kunywa maji mengi kwanza, tuongee asubuhi basi jamani. Saa hizi utaamsha majirani wapige 911. Kuna bhange zangu kule jikoni utaniharibia biashara, chonde chonde.

Aaah we unadhani mpaka aje na I'd yangu kwenye jukwaa huku pm je amefika wapi?huu uhuni bhana
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,088
2,000
Hivi huyu yupo siriaz au hizi ni mbwembwe za chit chat tu!

Mambo ya huku siku hiz yamenipita sana

Hii seriaz imeniudhi sana,mtu atatumiaje I'd yangu?sasa hapa je privancy za pm sitakwaje?kaniudhi sana
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,260
2,000
kitu unachotaka kutueleza hapa jombaa hauna ushahidi wala sio relevant...
Hakuna mtu anaweza tumia akaunti ya mtu unless;
awe anajua "nenosiri"
au
wakati unatumia simu ama dadavuzi hukujiondoa JF
au
katika dadavuzi ama simu yako umehifadhi neno siri na jina lako
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,355
2,000
"Chuki ni bureee!
Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun"

tena una bahati ameandika siyo vibaya,
vinginevyo leo pangechimbika.
 
Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Arushaone anadai kama haelewielewi!
Mie ndiyo kabisaa! Naona maruweruwe!
But kwa hili utawala wangelitolea maelezo!
Then Mhe Ousofia refar jana ule usiku wa ma8 muda ule tunachangamshana ! Naomba unielewe mie hua ni mtu wa mzaha na jokes kibao! Nizoee hivyo kwa vl ndiyo niko hivyo!
Kwa mbaali nilikuona unapoteza amani i was not seriously due that!
Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,523
2,000
Baba, kunywa maji mengi kwanza, tuongee asubuhi basi jamani. Saa hizi utaamsha majirani wapige 911. Kuna bhange zangu kule jikoni utaniharibia biashara, chonde chonde.
Heheheheee King'asti leo niliota navuta bange yan nahisi kuna mtu alikuwa anavuta ndio nkamuota! Kipipi huyu jamaa anaota mchana eeeeeh
 
Last edited by a moderator:

Osaka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
1,762
1,225
Ousofia 01:59 Today
By Kipipi:
Chuki ni bureee!
Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun

Edit Reply Report Post
Ousofia 04:24 Today
Dah coment ya mwisho kuhusu kipipi si mimi kuna mtu anatafutia kisingizio kaona alogin na account yangu,acheni uhuni wahusika,ni upumbavu kuandika kitu ambacho sijaandika mimi,nikiandika thread kuwa nimelewa usidhani nipo hivo na si kigezo cha kucoment kwa account yangu,haki ya nani mhusika umeniudhi,JF inaboa for real kwa mtindo huu, where is our privancy?

Edit Reply Report Post
Ousofia 04:28 Today
Mhusika uliyereply kwa account yangu na kuccoment kwa kipipi umeniudhi sana.

Edit Reply Report Post
Page 8 of 8 First ... 678
Mods najua mnaweza kufunga hii thread,
But
Kuna haja gani huyu mtu kumjibu Kipipi kwa account yangu?eti nakupenda hun sikuchukii.
Yaani imefika kiasi cha kutumia account za watu?
Uliyeingia kwenye account yangu umeniudhi na ninajua unaweza ukaclose hii thread au ban!
Ila umefanya kosa kuingilia privancy yangu

Hayo ndiyo matokeo ya kuacha P/word ionekane kwa mtu mwingine! Pole.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom