Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
- Thread starter
- #21
Arushaone anadai kama haelewielewi!
Mie ndiyo kabisaa! Naona maruweruwe!
But kwa hili utawala wangelitolea maelezo!
Then Mhe Ousofia refar jana ule usiku wa ma8 muda ule tunachangamshana ! Naomba unielewe mie hua ni mtu wa mzaha na jokes kibao! Nizoee hivyo kwa vl ndiyo niko hivyo!
Kwa mbaali nilikuona unapoteza amani i was not seriously due that!
Tuko pamoja.
Mkuu mi naishi mwenyewe sasa huyu kaingiaje kwa account yangu,ndo inanishangaza
Last edited by a moderator: