Mtu huyu ni wa aina gani?

Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,761
2,311
Mwenye aibu sana

Mpole na mtulivu

Mkatili sana na mvumilivu pia

Muhuni wa kimyakimya na mchonganishi pia wa siri

Mwenye kupendelea sana kutenda mambo yake usiku

Mzembe kwa matazamio ya nje ila ni mjanjamjanja sana kiuhalisia

Mzungumzaji sanaa ukiwa na ukaribu nae lakini huwa anabadirika ghafla akigundua umemzoea

Mgumu sana katika swala la mahusiano kimapenzi hana mke wala mchumba na yuko mbali mno na jinsia ya kike

Maajabu yakuja kuwa mtu huyu pia ni mwenye huruma sana pia hutoa misaada kwa mambo mengi hili ndilo hustaajabisha zaidi

DUNIANI KUNA WATU WA AJABU AISEE.
 
Genius awezi kuwa na ukatili yani uyo sijui umuweke eneo gani
Sir isaac newton alitaka kuchoma ya Wazazi wake na wao wakiwemo humo, wakati yupo kijana in teen age

Kuna somo la saikoloji nilikuta hiko kipande nimestaajabu sana nami nimeuliza huyo mtu ni wa aina gani maana yuko kila sehemu
Hilo somo linahusu nini ? Majibu mbona unayo huko huko kwenye somo
 
Huyo mtu anaonekana anatabia zote ambazo umetaja hapo lakini bado unashindwa kumfahamu labda acha kutaka kufanya mtu kufit definition zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom