umesema kwa sasa mumeo kasafiri?
meaning? kuna vacuum sio?
Pengine ulilegezxa na sauti kwenye simu makusudi..
Jus ignore him
Usipokee simu wala kujibu sms na badili namba ikiwezekana pia umjulishe Shemeji
Habari zenu ndugu zangu.
Wapendwa jambo hili limenifanya nikose raha cku ya leo (8.3.2013).
Majira ya saa saba mchana nilimpigia supervisor wangu simu kujua yuko wapi ili nimpatie kazi yangu ya research. cm ilipokelewa na mtu ambae ckumjua nikashangaa nikamsalimia baada ya salamu nikamuuliza wewe ni Dr.....akasema hapana, nikamjibu wrong number nikakata! nikacheki namba niliyopiga ni kweli ya dr! nikacall tena akapokea dr akanambia anakuja nimsubiri.
Loh wandugu, baada ya kama nusu saa hv nikaanza kupata message za mapenzi kutoka kwa yule mtu niliekosea namba akinitaja jina langu na kusema ananipenda, mara mungu katukutanisha, mara tuonane..n.k Nimemjibu mm mke wa mtu pia nina watoto, jamaa hasikii ananipigia cm mfululizo. Kwa sasa mume wangu kasafiri, naombeni msaada wa mawazo nifanyaje?
Wewe acha zako
rahisi kwako
mwenzio mumewe kasafiri,hukuelewa?
Geuka kuwa mzaramo for a while ili unusuru ndoa yako namanisha mchambe,mtukane,foka fanya kila aina ya maudhi kwa huyo mshezi ili mmeo akirudi akukute ukiwa tuli kama alivyokuacha maana haya madubwana yanatupunguzia uaminifu kwa wame zetu.Shenzy type
Yes, The Boss. This is great thinking!! Ni lazima tusome katikati ya mistari. Mleta mada hajatuambiwa hata kuuthiwa na message za jamaa. Anachoeleza ni jinsi anavoambiwa anampendwa na taarifa yake kwa jamaa kuwa ameolewa na aana watoto.
Hii mume kusafiri ni kutaka kutuonesha ana nafasi ya kufanya anachofikiria lakini anataka kujua ni lipi watu watamchagulia. Nina hakika hatawasikiliza wale wanaopinga mpango wake. Mama ya watoto anagegedwa hivi hiviiiii!!!
kazi unayo.hapa usibadili namba, kama shemeji ni mwelewa mwambie ukweli kuhusu hili, akirudi andaeni mtego ili akutane LIVE na hili rijamaa, halitakusumbua tena
umesema kwa sasa mumeo kasafiri?
meaning? kuna vacuum sio?
Pengine ulilegezxa na sauti kwenye simu makusudi..
nimemwambia, ila
amekua akituma sms na kucall mpaka imenikera.
kiongozi,nadhani alikuwa anamaanisha impact ya usumbufu wa jamaa kwa mumewe haijafika,hivyo mpeni mbinu mapema kabla mzee hajaja ikawa tabu!haya toa mbinu za kummaliza
haiwezekan mkuu ni kinyume na maadili yangu. Ubarikiwe.mkubalie ili asikukere
Neylu...naungamkono ua maoni...
Its true inaonyesha ajawah kutongozwa tokea aolewe..Sasa sound lampemba limemkole...