Mtu huyu amenishangaza sana! Msaada tafadhari...

Mtu huyu amenishangaza sana! Msaada tafadhari...

"ka safiri" mara nyingine acha kuwatega washauri. ki-saikolojia ninajua una maana gani. cha msingi acha tabia hiyo. kwa nini hukuomba ushuari kwa mume wako ila "kasafiri'!
 
"ka safiri" mara nyingine acha kuwatega washauri. ki-saikolojia ninajua una maana gani. cha msingi acha tabia hiyo. kwa nini hukuomba ushuari kwa mume wako ila "kasafiri'!

cjavunja sheria kuomba msaada na hapa mkuu. Au?
 
Hivi unamkatalia mtu kwa sababu umeolewa na una watoto au kwa sababu hutaki? Kwa nini utafute sababu ku-justify kumkataa mwanaume kama kweli humtaki? Kwa nini usiseme moja kwa moja kuwa hutaki na akome kukusumbua na simu za ajabu ajabu na kuwa akiendelea utamchukulia hatua? Hapo ndio huwa siwaelewi akima mama.
 
Hapo sikushauri tena maana hawa jamaa zetu wanaanzia ga dau la 50,000/= kuendelea hadi 1m kutokana na umbile lako
Km Research ni ya Degree usiwe na hofu nayo hebu muulize Dr huyo jamaa ni Mpemba kweli? kabla ya kumpiga kibuti

upemba wake haunisaidii kitu jaman.
 
Hivi unamkatalia mtu kwa sababu umeolewa na una watoto au kwa sababu hutaki? Kwa nini utafute sababu ku-justify kumkataa mwanaume kama kweli humtaki? Kwa nini usiseme moja kwa moja kuwa hutaki na akome kukusumbua na simu za ajabu ajabu na kuwa akiendelea utamchukulia hatua? Hapo ndio huwa siwaelewi akima mama.

unachosema ni sahihi ndugu,ila nature ya maswali yake ndo yalinifanya nitoe jibu hilo. Ila kuolewa na watoto ni sababu ktk nyingi kwa mwanamke anaejitambua. Pia mke wa mtu sumu, au ww hata mke wa mtu unagonga tu?
 
Mtumie mumeo namba ya huyo jamaa ili ampigie lkn ukimeza basi mwisho ni kuvimba na kuihujumu ndoa yako
ish!hiv na hii nayoni ya kumwambia mume !uuuwih
mi hata kabla sijaolewa nikitokewa na mvulana simwambii bf wangu sasa ndo sa hz?
hebu acheni kufanya mke ni empty set jamani!kuwa hawezikuwa masuluhisho yake bila msaada wa mume!hata hiiiiili!KHA!
 
af we dada!
mbn unatutia aibu wamama wenzio banaaa
YANI UNAULIZA MASWALI KAMA darasa la IIB
yani hapo ulipo hujajua jisni ya kudeal na hili au unatupima upepo tu!
tupishe baana!asbhu hii ujue oh!
cc King'asti na Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Usipokee simu wala kujibu sms na badili namba ikiwezekana pia umjulishe Shemeji

Kwa nini abadii number sababu ya mtu?
Cha kufanya ajue ni nani anamsumbua ..ili achukue hatua mathubuti baada ya hapo
 
Back
Top Bottom