Ameomba msamaha

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mmepigaje hapo Leo...
Huku mambo ni takeu style tu.....

Mnakumbuka kuna kisa nilileta humu cha Binti mdogo ake na wife aliyekuja kwangu kujiendeleza ufundi na kutafuta maisha, nikamtimizia kila kitu baada ya miezi miwili kaanza visa eti anataka kurudi kwao akawa ana force nimpe nauli baada ya kumwambia asubiri mara bwana ake akanipigia cm akanitukana nk.

Niliamua kumpa vocha apige simu popote anapodha nia atapata nauli kwa wakati anaoutaka kweli alipga kwao wakamwambia hawana hela ye asubiri atapewa huku.

Niliamua kumnyamazia kbs nikampotezea sjui kama yupo au hayupo nikawaacha na dada ake so mi kuongea naye ikawa na salamu tu then kimya Sina habari kabisa.

Sasa Leo asubuhi nimetoka kwenda kazini akaniomba tuzungumze nikamsikiliza akaomba msamaha sn mpk analia kwamba nimsamehe kwa yote hatorudia tena.

Mimi nikamwambia staki msamaha wake ye abaki na msimamo wake asubiri hao watakaomtumia nauli hata kama ni baada ya miaka huko mi sjui ukizngatia ufundi aliacha mwenyewe akaamua kukaa home eti anataka nauli arudi kwao.

Nilipoendelea msikiliza nikamuonea huruma maana alisema ye anaomba aendelee na ufundi nikamjibu ngoja nifikirie takujibu siku nyingine.

Sasa wakuu mi huyu nataka nimtafune kabisa maana inaonekana bwana ake ndiye alikuwa anAmpotezea dira na pia upwiru ndo unamsumbua nataka nimrudishe kwenye ufundi lakini pia nianze kumtoa upwiru vilivyo Ili asije leta za kuleta Tena.

Je takuwa nakosea au?
 
Niamini Mimi mkuu, katika vitu hujazawadiwa ni akili,

yaani wanawake walivyojaa huku duniani mpaka wa buku bee (maoni ya wadau), ukatembee na mdogo wa mkeo unayeishi naye hapo hapo kwenye chumba kimoja na sebule..??

Hata kama akili siyo ya kutosha basi jaribu kuwa na haya, ila wanawake tuna huruma hii andazi nayo inaitwa mahali mume..!!
 
Njoo ww badala yake Mimi andazi we chai karibu nungaiyembe....
 
Sasa wakuu mi huyu nataka nimtafune kabisa maana inaonekana bwana ake ndiye alikuwa anAmpotezea dira na pia upwiru ndo unamsumbua nataka nimrudishe kwenye ufundi lakini pia nianze kumtoa upwiru vilivyo Ili asije leta za kuleta Tena.
Je takuwa nakosea au
Kwanini umetoroka Milembe Mkuu.

WAKUU MKAMATENI MLETA UZI TUMPELEKE MILEMBE MAANA KUNA MTU AMEMISS WALIPOHESABU WAGONJWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
palm-kernel-oil-500x500_1.jpeg
mafuta haya yatablend vizuri na ngozi yako ya kinyero...
Jiandae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom