white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
usha mvuruga. Hebu niambie mganga gani kakusaidia?
Wala sijamtengeneza ni mahanjumanti ya msosi wa mchana na usiku siendagi kwa wagangaa
usha mvuruga. Hebu niambie mganga gani kakusaidia?
Keshanitolea mahali bado ndoaaa tu, na mm kabla sijafanya kitu lazma nimwambie akigoma sifanyi tunasikilizanaw
Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandani
mabwana WA Kichagga kwani mi nawataka??
Wivu ndio mapenzi ila ukizidi ndio kero, performance ata nyooka tu kwa Mtanga, sema wasiwasi wangu sijui na wao pia ndio wale wanao keketa manake Kama ndio ndoa itaishiaa kua ndoto isio timia...Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandani
Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandani
We acha tu. mie nilidhani namuonesha mapenzi kumbe yeye ananiona Bushoke.
Mim bwanaangu sio mchaga ni Msukuma,mi na wachaga mbalimbali
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Wewe ni shetani..
Wala sijamtengeneza ni mahanjumanti ya msosi wa mchana na usiku siendagi kwa wagangaa
Hapo kwenye red hapo. !?? umewaonja wangapi!?
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandani
Mahali siyo issue, watu wanamwagwa kwenye ndoa itakuwa uchumba...Keshanitolea mahali bado ndoaaa tu, na mm kabla sijafanya kitu lazma nimwambie akigoma sifanyi tunasikilizanaw
here tedo kwani white girl kafanya ushetani gani?