Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

Inawezekana anatoa kwa nia njema bt angefanya kitu remarkable km kujenga shule au zahanati lakin kumpa tu mtu tu efu kumi au laki hajasaidia kitu
 
mtu yeyote anaruhusiwa kuomba ulinzi wa polisi ikiwa anahisi amani yake inaweza kuhatarishwa- hili swuala limezungumzwa sana na wakuu wa polisi ila tu unawalipa hao askari posho, ila unaenda kuomba askari officially na unasema malengo yako, una hela ngapi na umezipataje. kwisha mkuu. kipindi watu wamauawa sana wakati wa kusafirisha hela kwenda bank kabla macampuni ya ulinzi hayajaanza kutumika sana polisi makao makuu walikua wanasisitiza watu kwenda kiuchukua ulinzi ni haki ya ko kikatiba (usalama wa raisa na mali zao) kama wameisha watakupangia siku nyingine

Kwa hiyo kama askari wameisha ünalala nazo mpaka siku nyingine?
 
Hizi pesa huwa hazina tatizo kwa mpokeaji kwani pesa za namnahiyo huwa hazitakiwi zilale, unatakiwa ufanye njia yeyote ile ili ziishe na ukienda kinyume nahapo unabaki stori, sio kwamba unakufa hapana ila unakuwa masikini wakutupwa jalalani.

Mkuu Home First hebu fafanua kidogo... Pesa gani hizo?????
 
Last edited by a moderator:
19th August 2013 at 22:48:

There are currently 1310 users browsing this thread.
(29 members and 1281 guests)


Kweli fedha ni tamu aisee............
 
ni kweli hii habari. Juzi mtu huyu aligawa elfu kumi kumi kwa kila dereva wa bodaboda pale msasani karibu na hospitali ya ccbrt. Nilikuwa jirani na hapo wakati tukio linatokea! Kama fedha hizo ni safi mungu ambariki!

kwa mungu akuna pesa chafu mkuu
hata baibo inasema mataifa watakutafuta watakuletea pesa magari nk..hi ni baibo akuna magari mbinguni unaposoma kwenye baibo mema ya nchi ndio haya ukifika juu huko ni mbingu akuna nchi tena so ukipata nafasi tumia mkuu utakuja jutia kusubiri chafu inanuka inanukia nk

ndio maana kwenye sadaka asilimia 50 nyingi ni za matajiri na wale wazee wa kanisa mostly wanakuwa ni vibopa unajua kwa nini akuna kanisa linalobeba na kwenda kuweka ndani bila kuziombea mbele yao...hiindio sababu unakuta zingine kama unavyosema lakini we kamata ziombee takasa ibaki kuomba mungu akuonyeshe matumizi yake mpwa
basi
 
nipesa za mashetani.
baki tu na pesa za mashetani utamtamani usimwone tena baada ya miaka 20 mkuu

mtu kama huyo weka proposal yako ya biashara omba kwa mungu kesho yake umwone mkabidhi eleza matatizo yako umwachie mungu akufunulie njia ..tuachane na dhana potofu ndio maana sipendi umasikini....mlevi mmoja alisema

""bora ufe tajiri umesimama kuliko maskini umelala unapiga magoti"""""
 
19th august 2013 at 22:48:

there are currently 1310 users browsing this thread.
(29 members and 1281 guests)


kweli fedha ni tamu aisee............

haahaaaa mkuuu mtambuzi
sisi wasomaji wa baibo inasema pesa ni sabuni ya moyo kama uamini mwambie mod afunge hii masaa 5 oane moto wake zaidi ya maandamano ya po.......
 
19th August 2013 at 22:48:

There are currently 1310 users browsing this thread.
(29 members and 1281 guests)


Kweli fedha ni tamu aisee............
mkuu Mtambuzi Na mimi nikipata pesa nitaanza kugawa hapa hapa kwa wanachama wa Jamii forums unasemaje mkuu? Angalia sasa chini hapa

There are currently 819 users browsing this thread. (21 members and 798 guests)
 
Last edited by a moderator:
​

Bajaji wakiwa kwenye foleni kuwekewa mafuta na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha

Mwanaume mmoja, ambaye amekuwa akiongozana na maaskari polisi wawili, amekuwa akigawa fedha za bure kwa watu mbalimbali jijini Dar.

Kijana huyo wa makamo, ambaye kwa wiki hii nzima amekuwa akitajwa kwenye radio mbalimbali, aliwalipia bili wagonjwa wote waliokuwa wamelazwa hospitali ya Mwanyamala na Muhimbili, wodi ya wanawake.

Akizungumza na mwandishi wetu,mmoja wagonjwa wa hospitali ya Muhimbili, Subira Juma alisema kijana huyo alikuja hospitali na kuuliza wangapi wanadaiwa halafu akawalipia bili zao na kisha kuondoka zake bila kujitambulisha.

‘Kwa kweli hata mimi sifahamu kijana huyu katokea wapi, lakini sijwahi kuona mtu akitoa hela bila kujuana, na kisha kuondoka bila kusema lolote
' alisema Subira.

Wakati huo huo, wasafiri wa daladala nao, hasa ziendazo Mbagala nao wametajwa kunufaika na mgao huo, ambapo wamekuwa wakilipiwa nauli mara kadhaa na mtu huyo.

Mbali na kulipia watu usafiri, kijana huyo pia anatajwa kuwanufaisha madereva boda boda na bajaji kwa kuwawekea mafuta kwenye vyombo vyao vya usafiri.

CHANZO JAMBO TZ

Mwenyeezi Mungu amlipe Pepo huyo Kijana inshallah Wanachama Wenzangu Semeni Ameen.
Nadhani huyu ni yule jamaa aliyesema akifikisha umri wa miaka 60 ataenda bongo kutoa sadaka ambayo ni kugawa pesa kwa watu asiowafahamu/barabarani, hospitali, vituo vya watoto yatima, n.k. Na huu ndio mwezi aliozaliwa na ameenda bongo. Ni vizuri kama ameweza kutimiza nadhiri yake.
Na jina lake maarufu ni namba fulani, yaani kwa mfano tatu, thelasini na kadhalika.
 
Wabongo bwana,hizo pesa nimeamua kuwagawia kwa moyo safi,kuanzia wiki ijayo nitakuwa natoa ratiba kabisa,
Fata nyuki urudi na manundu
 
lil_wayne_and_drake_make_it_rain_250k_at_strip_club_640_13.jpg
1361413820_a.jpg

making-it-rain-deduction-400x300.jpg


artworks-000038416019-qcvg6a-crop.jpg
 
Back
Top Bottom