Huyo mtu anaweza akawa anauza mzigo haramu a.k.a "sembe" huyo, au anafanya kitubio ama chuma ulete hyo, ila mtu hajulikani anakujaje na kugawa mahela watu wala hawastuki bana, angekuwa anagawa kete hapo angeripotiwa polisi ila kwa 7bu ni hela basi watu cheeeee!
Hizi pesa huwa hazina tatizo kwa mpokeaji kwani pesa za namnahiyo huwa hazitakiwi zilale, unatakiwa ufanye njia yeyote ile ili ziishe na ukienda kinyume nahapo unabaki stori, sio kwamba unakufa hapana ila unakuwa masikini wakutupwa jalalani.
Jamaa kajionea siku zake zina hesabika, so kaamua agawe kuepusha wenye mikono mirefu kuzichukua.... atakapo kua ametoweka kwenye uso wa dunia>>>>>>>>>>>>
Mwambieni basi apite na hapa posta kituo cha daladala manake nna buku tu ya nauli na home nshawaambia wainjike ugali ntapitia dagaa mchele sasa ramani haijasoma at least mmwaga mpunga akipita mitaa hii atasave mylife naombeni basi mkimuona popote mwambieni tunamsubiri kwa hamu hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.