Hata asipojitambulisha kuwa ni wa kike, tayari huyu ni wa kike mkuuHuyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote…
Mshana na wewe kumbe ni mzee wa kucopy and paste?Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”…
Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)…
Mtu wa jamii hiyo anaweza pia kuzaliwa wa kiume lakini hataki kutambulishwa kuwa ni mwanaume… Na hataki pia kutambulika kuwa ni mwanamke… Hao ndio NON-BINARY…
Ni tofauti na TRANS 🏳️⚧️ au TRANSGENDER ⚧️ 🏳️⚧️… Huyu ni mtu ambaye utambulisho wake wa kijinsia (KE au ME), unatofautiana na jinsia ambayo alizaliwa nayo…
Huyu anaweza kuzaliwa mwanaume, lakini akaichukia jinsia yake na kuamua kujibadilisha JINSIA na kuwa mwanamke… Muonekano wake utakuwa wa kike lakini jinsia yake itabaki kuwa ya kiume, and vice versa…
Wote hao wapo katika jamii ya LGBTQ+ 🏳️🌈 ⚧️ 🏳️⚧️
Ameandika Babu MzanView attachment 3121675zibarii ✍️
Akikutana na P. Diddy ataijua jinsia yake halisi.Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”…
Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)…
Mtu wa jamii hiyo anaweza pia kuzaliwa wa kiume lakini hataki kutambulishwa kuwa ni mwanaume… Na hataki pia kutambulika kuwa ni mwanamke… Hao ndio NON-BINARY…
Ni tofauti na TRANS 🏳️⚧️ au TRANSGENDER ⚧️ 🏳️⚧️… Huyu ni mtu ambaye utambulisho wake wa kijinsia (KE au ME), unatofautiana na jinsia ambayo alizaliwa nayo…
Huyu anaweza kuzaliwa mwanaume, lakini akaichukia jinsia yake na kuamua kujibadilisha JINSIA na kuwa mwanamke… Muonekano wake utakuwa wa kike lakini jinsia yake itabaki kuwa ya kiume, and vice versa…
Wote hao wapo katika jamii ya LGBTQ+ 🏳️🌈 ⚧️ 🏳️⚧️
Ameandika Babu MzanView attachment 3121675zibarii ✍️
Kumbe😅Una mshedede au papuchi hapo jinsia ni me na ke tu, hayo mengine ni ufundi wao tu.
Una mshedede au papuchi hapo jinsia ni me na ke tu, hayo mengine ni ufundi wao tu.
Huo ni ulemavu ,awakwe kwenye kundi la walemavu na asitengwe.Kwahiyo mtu mwenye zote mbili anakuwa anajushughulikia au??🤣🤣😂🤔🤔🤔