Mtu anisaidie kupata Leseni ya Udereve nitamlipa

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
227
Reaction score
393
Habari ndugu zangu.

Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau

Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
 
Ukiwa na viambata hivyo sioni umuhimu wa connection tena kwa class D!!
Atakayekuhudumia mpe ngapingapi upate SMS ya kuifuata kesho yake.

BTW:Ofisi za TRA Mkoa vishoka wanarandaranda kwenye korido na parking hata ukimueleza mlinzi getini anakuunganisha nao wanakupitisha kwa mhusika.
 
Naona longolongo nyingi pale polisi. Nikikosa nita enda test TRA ulichonambia. Asante!
 
Habari ndugu zangu.

Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau

Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
Nenda TRA class D easy sana
 
Back
Top Bottom