Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,061
- 71,225
Nenda na wewe uwe mwalimu sipati picha hao utakavyowala watoto wa watuWanakula ada zetu, wanajinunulia magari, wanajenga; sisi wanafunzi tunaachwa tukizunguka na bahasha mtaani.

Majizi oyeeeee!Ili apatae cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka ukosee ili wakukamate Mama ntilie na wenye hoteli wanataka usikie njaa wakuuzie chakula Kiongozi anataka uwe mjinga ili akutawale Fundi magari anataka gari iaribike ili aitengeneze Dereva bajaji anataka jua likuchome ili upande usafiri wake Muuza mwamvuli anataka unyeshewe na mvua ili ununue mwamvuli Askari magereza anataka ufungwe ili apate kazi Fundi viatu anataka kiatu chako kiharibike ili akishone Muuza madawa anataka uugue ili akuuzie dawa Mchungaji anataka usifanikiwe ili kila siku uwe muumini wakeHatari sana, mambo ni mengi; kwa kweli tuwaombee wezi waishi miaka mingi kwa kutuombea mema na mafanikio.
Kama wewe ni mwizi, nyoosha mkono juu nikununulie pepsi
Inabidi kujilipa kwa kula kondoo wako tuNenda na wewe uwe mwalimu sipati picha hao utakavyowala watoto wa watu
Usifunge mlango kabisaMajizi oyeeeee!
Nimthibitishie kaka mwizi kwamba bahati yake nimeilalia mlango wazi,sivyo?Usifunge mlango kabisa
HakunaNdio ukweli huo, daktari wa meno anakuombea uanguke uvunjike meno ili uende akakutibu.
- CCM wanataka tuendelee kuwa maskini ili waendelee kutunyonya na kututawalaIli apatae cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka ukosee ili wakukamate Mama ntilie na wenye hoteli wanataka usikie njaa wakuuzie chakula Kiongozi anataka uwe mjinga ili akutawale Fundi magari anataka gari iaribike ili aitengeneze Dereva bajaji anataka jua likuchome ili upande usafiri wake Muuza mwamvuli anataka unyeshewe na mvua ili ununue mwamvuli Askari magereza anataka ufungwe ili apate kazi Fundi viatu anataka kiatu chako kiharibike ili akishone Muuza madawa anataka uugue ili akuuzie dawa Mchungaji anataka usifanikiwe ili kila siku uwe muumini wakeHatari sana, mambo ni mengi; kwa kweli tuwaombee wezi waishi miaka mingi kwa kutuombea mema na mafanikio.
Kama wewe ni mwizi, nyoosha mkono juu nikununulie pepsi
Tatizo wewe ni mbishi sana, unaweza kubishana na radio mpaka ikazima.Hakuna
Nini kifanyike?- CCM wanataka tuendelee kuwa maskini ili waendelee kutunyonya na kututawala
Wanakuombea upate mpenzi mzuri, waje wamchukue.Nakataa,
Wezi ni nyoko sana, it seems haujawahi kuibiwa, waulize walioibiwa wapenzi au wake watakuja kukupa mrejesho
Muhimu uwape ushirikiano wanaotakaNa hao wezi wanaweza kukuua au kukujeruhi vibaya vilevile
Wengine hata ukitoa ushirikiano watakuua tuMuhimu uwape ushirikiano wanaotaka
Mbinguni na duniani wapi kuzuri?Wengine hata ukitoa ushirikiano watakuua tu
Nakuombea ufanikiweUtakuwa ni mwizi wewe
Hakuna mbingu, thibitisha kama kuna mbinguMbinguni na duniani wapi kuzuri?
🤣🤣🤣unanioneaTatizo wewe ni mbishi sana, unaweza kubishana na radio mpaka ikazima.