Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

Bajuda

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
237
Reaction score
270
Habar wanajukwaa.

Naomba kufahamishwa

Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia. Je, muda huo anavyokuwa katika hali hiyo fahamu zake huwa zimeenda(zimepotelea) wapi?

Shukrani.
 
Anakuwa kwenye usingizi mzito sana wa kukaribia kifo!!
IMG-20210917-WA0000.jpg
 
Ukiwa na fahamu (utambuzi) unajielewa ulipo na hali ya mazingira yanayokuzunguka. Ukishasema umepoteza fahamu (umepoteza utambuzi) ina maana huna uwezo wa kujua ulipo wala linaloendelea.

Kwa lugha rahisi ni kuwa milango yako yote ya fahamu ni kama imekufa kwa muda mpaka itakaporejea ndio utajitambua.

Mimi niliwahi kupata ajali kwenye mechi enzi nipo primary nilikuja kuzinduka nipo mtoni jamaa wananimwagia maji. Nakumbuka tukio lilipokuwa linatokea nilianguka nikapiga kichwa chini na nilipozinduka nilikuwa mtoni hapo katikati sijui kilitokea nini na kufikishwa mtoni sijui nilifikishwa vipi.
 
Mwamba si ujigongeshe ukutani kinyumenyume uzime ili uje utupe majibu hapa🤣🤣🤣 au vipi masela tuuze nchi tugawane mahela😍
 
Nadhani tunapopoteza consciousness ubongo bado unakuwa uko active...ila umefunga baadhi ya functions ambazo kwa wakati huo brain imeona si za lazima ili kukunusuru wewe mwenyewe uendelee kuwa hai.

Muscles zikiwa relaxed na other functions zikizuiwa energy inakuwa channelled kwenda kwenye important areas. Hali ikitengemaa huko ndani the same brain inaji activate parts zilizokuwa shut down.

So it is not like kama vile consciousness hupotea once tuki faint...ufahamu upo ila ni kama unakuwa hibernated...ni sawa na wakati unapolala usingizi na hujitambui...do you think ufahamu unaenda wapi? The brain remains active hata katikati ya usingizi.
 
Hana tofauti na aliyelala au aliyekufa.
Naam ni kweli...nakumbuka niliwahi kufanyiwa surgery. Nachokumbuka ni ile team ya doctors na manesi wa usingizi wakijitambulisha...baada ya gesi ya usingizi kuruhusiwa na nikaivuta....ufahamu ulipotea kama mtu anayezima switch ya taa ya umeme. Yaani ni ile in the blink of an eye...nikawa unconscious.

Sikujua kilichoendelea hadi nilipokuja kuzindukia wodini jioni.....kama Mungu angeruhusu nivute during operation nisingelijua chochote kamwe.

So ni kweli kuwa ukifaint huhisi chochote..na hujui lolote ila tu uko hai. Your brain has limited some of its functions.

Ndiyo maana uhai ni jambo la kushangaza sana...ni zawadi toka kwa Mungu. Ukiamka salama asubuhi shukuru Mungu...kwa maana hukujua lolote lililoendelea pindi ulipolala usingizi.
 
Habar wanajukwaa.

Naomba kufahamishwa

Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia. Je, muda huo anavyokuwa katika hali hiyo fahamu zake huwa zimeenda(zimepotelea) wapi?

Shukrani.
Mtu akipoteza fahamu anakuwa hana fahamu

Sasa anawezaje kufahamu mahala anapokuwepo anapokuwa hana fahamu?

Kunywa uji na nyama kwanza labda utakaa sawa
 
Swali la kitabibu, linajibiwa kimungu mungu, Kiuswahili swahili, Kiujuaji ujuaji, Kifala fala kishenzi shenzi... Kifalsafa.

Pumbav zenyu nyote mlioweka reply kabla ya hii na mtakaoreply baada ya hii kama mtajibu kindezi ndezi.
 
Nadhani tunapopoteza consciousness ubongo bado unakuwa uko active...ila umefunga baadhi ya functions ambazo kwa wakati huo brain imeona si za lazima ili kukunusuru wewe mwenyewe uendelee kuwa hai.

Muscles zikiwa relaxed na other functions zikizuiwa energy inakuwa channelled kwenda kwenye important areas. Hali ikitengemaa huko ndani the same brain inaji activate parts zilizokuwa shut down.

So it is not like kama vile consciousness hupotea once tuki faint...ufahamu upo ila ni kama unakuwa hibernated...ni sawa na wakati unapolala usingizi na hujitambui...do you think ufahamu unaenda wapi? The brain remains active hata katikati ya usingizi.
Unakuja kuja hivi ..endelea kureason na kutafiti.
 
Back
Top Bottom