Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

Habar wanajukwaa.

Naomba kufahamishwa

Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia. Je, muda huo anavyokuwa katika hali hiyo fahamu zake huwa zimeenda(zimepotelea) wapi?

Shukrani.
Kwa unapozima data huwa inakuwaje?!
 
Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia.
Mwili unaendeeshwa na umeme (electrolytes)

Mwili una mfumo wa umeme (electrical system)

Umewahi kujiuliza umeme ukizima kinatokea nini?

Jibu: Giza

Ukiwa gizani giza totoroo unaona nini?

Jibu: sioni kitu

Basi ili upate ufahamu hizo electrolytes za neurones within brain cell zinakua dormant kwa kipindi ukiwa umezima/umezimia, hivyo basi umeme nao unazima kupeleka taarifa ya utambuzi wa mazingira ya nje kwenye ubongo (hautojua kinachojiri), kwa hio fahamu zako zinakua kwenye backup generator ya ubongo (subconscious mind) ambayo itakusimamia mpaka pale main generator itakapowaka (conscious mind)

Kuna tofauti kidogo kati ya mtu aliezimia kawaida, aliezimia kwa kunywa pombe na alielala usingizi wa kawaida

Mimi nimewahi kuzima/kuzimia mara nyingi hadi zingine sikumbuki

Na hakuna kinachoumiza km ukizima/unazimia alafu unakuja kuzinduka haukumbuki hata kilichoendelea kila ukivuta kumbukumbuku hukumbuki kwamba watu walikubeba wakakulazia tumbo wakakuweka kwenye sehemu yenye hewa ukaanza kupepewa vyote hivyo haujui unaona giza tu, hio ni kuashiria kwamba umeme ulizima ukabaki gizani.

Kingine cha kumalizia ubongo unahitaji kiasi kikubwa cha oxygen, ukiona umezima/umezimia jua ubongo wako ulikua na kiwango kidogo sana cha oxygen.
 
Wengi wanasema anakuwa anakuwa muhimbili kwa uchunguzi zaidi au we unaonaje??
 
Back
Top Bottom