Mtu aliyeajiriwa anatakiwa kuwa na shilingi ngapi kwenye account yake kama akiba?

Inategemea umejipanga VIP kabla ya ajira mshahara wangu wa kwanza ulienda kuongeza room hapo nyumbani maana kamatulikua tunakaa stop hivyo bank nilikua siachi kitu Kalibu mwaka mzima
 
poleni na majukumu ya kutwa wakuu?
nilikua naomba kuuliza,hivi kwa mtu hasa mwanaume aliyeajiriwa iwe serikalini au kwenye private entity anatakiwa kuwa na akiba ya kiasi gani cha Fedha bank?
unatakiwa kuwa na cumulative ya asilimia kumi ya mshahara wako. kwa hivyo, kila mwezi unapaswa kubakiza 10% ya mshahara wako. of course, hii idea ya serving ndo iliyozaa rushwa ya 10%
 
unatakiwa kuwa na cumulative ya asilimia kumi ya mshahara wako. kwa hivyo, kila mwezi unapaswa kubakiza 10% ya mshahara wako. of course, hii idea ya serving ndo iliyozaa rushwa ya 10%
noted
 
Kanuni ya wastani kabisa ni kuwa na kiasi kitakachoweza kukukimu kwa mahitaji yako muhimu kama chakula, malazi, mavazi, afya etc bila mshahara kwa kipindi cha miezi sita.

Kwa hiyo inategemea sana na matumizi yako.
 
Kanuni ya wastani kabisa nikuwa na kiasi kitakachoweza kukukimu kwa mahitaji yako muhimu kama chakula, malazi, mavazi, afya etc bila mshahara kwa kipindi cha miezi sita.

Kwa hiyo inategemea sana na matumizi yako.
nimekupata mkuu
 
mfano mtu mwenye income ya 1million..Ana mke na mtoto mmoja anatakiwa kusave ngapi mkuu?
kaka huwezi pata jibu la moja kwa moja-maana watu wanatofautiana vipaumbele ktk maisha pia altitude ya watu juu ya mambo ni tofauti.mfano ukikuta mtu ni risk takers au opportunist kutumia hela yote akiwa anajua baada ya muda atapata kitu fulani mtu huyu anaweza asiache hata shs 100 kwenye akount.

ila kwa kujibu lako,mshahara ni mapato unayoyapata baada ya muda fulani hivyo ukianza kufanyia budget hiyo income yako kutokana na kanuni za kiuhasibu basi ni lazima uweke 10% ya budget yako kama contigency.
hata hivyo hizo kanuni na sheria bado ni mitazamo iliyofanywa na binadamu kama ww-cha msingi ni kufanya kama wewe unavyopenda.
 
Back
Top Bottom