haha hahaaNaacha kazi,, pumbavu zenu! Kwa mshahara gani mpaka niwe na hela ya kuweka akiba? Kwa utawala wa punguani uta-save kweli?
hah haaahaendelea kushangaa tu boss
nimekuelewa mkuuMshahara wowote hata ungekuwa ni milioni hamsini kwa mwezi BADO HAUTOSHI. Amini hivyo. !!! Mshahara unavyozidi na matumizi yanazidi. Kwa hiyo, hakikisha iwe jua iwe mvua unaweka akiba si chini ya 20% ya mshahara wako. Unafanya hivi:-Ukiwa na mshahara wa sh 200,000 jihesabie kwamba mshahara wako ni 140,000 tu ! Utakuwa umetoa zaka (10%) ya sh 20,000, na 20% ingine (yaani 40,000) utakuwa umeweka akiba. Tatizo ni kule kujihesabia mshahara wako ni 200,000. Ukiwa na mshahara wa 1,000,000 utaenda kwa asilimia hivyo hivyo. Yaani utatoa zaka 100,000, na utaweka akiba 200,000. Kwa hivyo utajihesabia mshahara wako ni 700,000 na sio milioni moja. Ukifanya hivyo unaweza kuweka akiba kwa kiwango chochote cha mshahara ulichonacho.
Kutoa zaka10% kwa Mungu ni MUHIMU SANA. Utoaji huo unakupa nidhamu ya kiroho (na hata ya kifedha).
Haahhaha mambo ya kibubu ee...Hahahaa. Kusave muhimu lakini hata kidogo tuu. Mi huwa nasave kwingine inayobaki naiputa yoote. Sisave hela bank aisee
bongo siku 10 ni nyingi sana mshahara kusoma kwenye a/c baada ya kutokaKanuni ya wastani kabisa ni kuwa na kiasi kitakachoweza kukukimu kwa mahitaji yako muhimu kama chakula, malazi, mavazi, afya etc bila mshahara kwa kipindi cha miezi sita.
Kwa hiyo inategemea sana na matumizi yako.
huna majukumu?Mimi huwa nasevu more than 77% ya mshahara wangu kila mwezi